LOADING ...

Sina Makosa

Song info

"Sina Makosa" (2013)

"Sina Makosa" Videos

Sina Makosa
Sina Makosa
Les Wanyika : Sina Makosa
Les Wanyika : Sina Makosa
Sina Makosa
Sina Makosa
Sina Makosa _ Les Wanyika ( video edited)
Sina Makosa _ Les Wanyika ( video edited)
SINA MAKOSA  with lyrics (Les Wanyika)
SINA MAKOSA with lyrics (Les Wanyika)
Sina Makosa - Les Wanyika
Sina Makosa - Les Wanyika
Sina Makosa
Sina Makosa
LES WANYKA SINA MAKOSA
LES WANYKA SINA MAKOSA
Les wanyika  sina makosa
Les wanyika sina makosa
Sina Makosa
Sina Makosa
Sina Makosa- Les Wanyika ft Wanavokali. (Live performance)
Sina Makosa- Les Wanyika ft Wanavokali. (Live performance)
Les Wanyika Sina Makosa 1979
Les Wanyika Sina Makosa 1979
Les Wanyika - Sina Makosa | Lyrics Video
Les Wanyika - Sina Makosa | Lyrics Video
SINA MAKOSA OFFICIAL( COVER) SMS 'Skiza 7743101' to 811 for skiza tune
SINA MAKOSA OFFICIAL( COVER) SMS 'Skiza 7743101' to 811 for skiza tune
Sina Makosa
Sina Makosa
Sina makosa (Remix)
Sina makosa (Remix)
LES WANYIKA PLAYLIST
LES WANYIKA PLAYLIST
Sina Makossa
Sina Makossa
Kasuku  les wanyika
Kasuku les wanyika
Les Wanyika - Amigo
Les Wanyika - Amigo

Lyrics

hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba

yule si wako
nami si wangu
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe

hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba

kwako hayuko
kwangu hayuko
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe

hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba

wewe una wako nyumbani
nami nina wangu nyumbani
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe

nasema sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana


Albums has song "Sina Makosa"