LOADING ...

Ombi Lako

Song info

"Ombi Lako" (2013)

"Ombi Lako" Videos

Les Wanyika : Ombi Lako
Les Wanyika : Ombi Lako
Les Wanyika - Ubaya Hauna Cheo
Les Wanyika - Ubaya Hauna Cheo
LES WANYIKA TAFUTA WAKO
LES WANYIKA TAFUTA WAKO
LES WANYIKA BARUA YAKO
LES WANYIKA BARUA YAKO
LES WANYIKA
LES WANYIKA
.Les Wanyika
.Les Wanyika
Les Wanyika
Les Wanyika
Top Tracks - Les Wanyika
Top Tracks - Les Wanyika
Top Tracks - Les Wanyika
Top Tracks - Les Wanyika
Les Wanyika- Paulina [Full Album] Pt. One
Les Wanyika- Paulina [Full Album] Pt. One
Orchestra Les Wanyika - Afro
Orchestra Les Wanyika - Afro
Les wanyika
Les wanyika
Les Wanyika : Sina Makosa
Les Wanyika : Sina Makosa
les wanyika
les wanyika
Les Wanyika
Les Wanyika
les wanyika
les wanyika
Les wanyika
Les wanyika
Les Wanyika : Nitafanya Nini
Les Wanyika : Nitafanya Nini
Les Wanyika and More
Les Wanyika and More
Les Wanyika
Les Wanyika

Lyrics

Swali lako mwana mama nakujibu leo
kuwa siwezi oh, siwezi oh, mama

mimi nilielewa tokea zamani
jasho lakutoka ukiniona na yule

eeh Noni nakupenda si ajabu kwa mimi
kwani imekuwa ni wimbo duniani

nakusihi na mama samahani oh
nilijua wa ziwa ni hadaa
zile ni hadithi kwangu ulisimulia
kwani sioni dalili za ukweli wako eeh

ombi lako ulifoli na mimi oh
nimwache wangu nimpendaye
nia na kusudi lako ni kutuvuruga
wengi walishindwa mi nitakuweza wapi oh

ombi lako ulifoli na mimi oh
nimwache wangu nimpendaye
nia na kusudi lako ni kutuvuruga
wengi walishindwa mi nitakuweza wapi oh

mama samahani oh
tena uniache
kwani nafahamu utakuja nijutisha eeh

wengi walijuta kuwapoteza wapenzi
juu ya kudanganywa hivyo mimi naepuka eeh
kwanza jiulize
ili ujielezee
tatu ujijibu ombi lako mwana mama eeh
hiyo ni aibu
tena ni fedheha
kwani ule wangu wewe ni shangazi yako eeh

mama samahani oh
tena uniache
kwani nafahamu utakuja nijutisha eeh

wengi walijuta kuwapoteza wapenzi
juu ya kudanganywa hivyo mimi naepuka eeh


Albums has song "Ombi Lako"