LOADING ...

Dunia Kigeugeu

Song info

"Dunia Kigeugeu" (2013)

"Dunia Kigeugeu" Videos

Dunia kigeugeu by Simba Wanyika
Dunia kigeugeu by Simba Wanyika
les wanyika
les wanyika
Ufukara Sio Kilema [with Lyrics] by Les Wanyika
Ufukara Sio Kilema [with Lyrics] by Les Wanyika
FM Academia | Dunia Kigeugeu | Official Version Video
FM Academia | Dunia Kigeugeu | Official Version Video
Les Wanyika - Afro
Les Wanyika - Afro
Dunia Kigeu Geu
Dunia Kigeu Geu
Les Wanyika : Sina Makosa
Les Wanyika : Sina Makosa
Simba Wanyika - Dunia Haina Wema
Simba Wanyika - Dunia Haina Wema
FM Academia - Dunia kigeugeu.DAT
FM Academia - Dunia kigeugeu.DAT
Les Wanyika
Les Wanyika
Les Wanyika   Amigo Lyric Vieo.
Les Wanyika Amigo Lyric Vieo.
Simba Wanyika
Simba Wanyika
Dunia kigeugeu zoezi la kwanza ,les wanyika 🎸🎸 rhumba tu
Dunia kigeugeu zoezi la kwanza ,les wanyika 🎸🎸 rhumba tu
Zilizopendwa Mix by VDJ Jones | Best of Les Wanyika | 3hrs Mix
Zilizopendwa Mix by VDJ Jones | Best of Les Wanyika | 3hrs Mix
dunia kigeugeu leo ivi kesho vile 🎼les wanyika🎸cover 🎵old is gold
dunia kigeugeu leo ivi kesho vile 🎼les wanyika🎸cover 🎵old is gold
Les Wanyika - Barua Yako| Kasuku
Les Wanyika - Barua Yako| Kasuku
Dunia Tuna Pita (We Are Merely Passing Through This World)
Dunia Tuna Pita (We Are Merely Passing Through This World)
dunia kigeugeu🎵 full tutorial 🎸 les wanyika✔️#rhumbaloverz❤️❤️zilizovumaxxtra
dunia kigeugeu🎵 full tutorial 🎸 les wanyika✔️#rhumbaloverz❤️❤️zilizovumaxxtra
Mzazi Wangu Mama
Mzazi Wangu Mama
Safari Ya Samburu - Les Wanyika.
Safari Ya Samburu - Les Wanyika.

Lyrics

naamini unaenda hutarudi oh
hata kama sio leo wala kesho eeh
mimi wako mama
nawe wangu cherie mama
mbona hivyo mwenzangu mama
waniacha kisa nini oh
oh bibi eh

sio nia yangu niwe maskini oh
uamuzi wake Mungu eh mama
ufukara oh bibi eeh
si kilema oh cherie mama
naamini iko siku mama
nitakuwa kama wale, fulani eeh

naamini unaenda hutarudi oh
hata kama sio leo wala kesho eeh
mimi wako mama
nawe wangu cherie mama
mbona hivyo mwenzangu mama
waniacha kisa nini oh
oh bibi eh

sio nia yangu niwe maskini oh
uamuzi wake Mungu eh mama
ufukara oh bibi eeh
si kilema oh cherie mama
naamini iko siku mama
nitakuwa kama wale, fulani eeh

kumbuka mama mwenyewe uliapa eeh
tutaishi tutenganishwe na kifo eeh
mi najuta sikujua, oh mama
hukuishi kimapenzi, oh mama

eeh, ukumbuke mama, aah
sikuwa hivyo mwanzo, eeh
dunia kigeugeu, aah
leo hivi kesho vile, mama

eeh, ufukara si kilema, aah
ndio hali ya dunia, hivyo
sitovunjika moyo mama yoyo
siku yangu itafika na mimi oh

eeh, ukumbuke mama, aah
sikuwa hivyo mwanzo, eeh
dunia kigeugeu, aah
leo hivi kesho vile, mama

eeh, ufukara si kilema, aah
ndio hali ya dunia, hivyo
sitovunjika moyo mama yoyo
siku yangu itafika na mimi oh

Albums has song "Dunia Kigeugeu"