LOADING ...

Nitafanya Nini

Song info

"Nitafanya Nini" (2013)

"Nitafanya Nini" Videos

Les Wanyika : Nitafanya Nini
Les Wanyika : Nitafanya Nini
Les Wanyika Best Hits
Les Wanyika Best Hits
Les Wanyika : Sina Makosa
Les Wanyika : Sina Makosa
LES WANYIKA RHUMBA VIDEO MIX - DJ ROYAL D
LES WANYIKA RHUMBA VIDEO MIX - DJ ROYAL D
Les Wanyika Fitina
Les Wanyika Fitina
Sina Makosa _ Les Wanyika ( video edited)
Sina Makosa _ Les Wanyika ( video edited)
SINA MAKOSA  with lyrics (Les Wanyika)
SINA MAKOSA with lyrics (Les Wanyika)
Les Wanyika - Afro
Les Wanyika - Afro
Les Wanyika MAISHA NI MAPAMBANO
Les Wanyika MAISHA NI MAPAMBANO
Sina Makosa
Sina Makosa
Matamshi yako rafiki by Super Wanyika,
Matamshi yako rafiki by Super Wanyika,
LES WANYIKA PLAYLIST
LES WANYIKA PLAYLIST
Sina Makosa
Sina Makosa
Les Wanyika
Les Wanyika
Zainabu Pt 1 & 2 -  Wanyika Stars ft Rashid Juma
Zainabu Pt 1 & 2 - Wanyika Stars ft Rashid Juma
Barua Yako
Barua Yako
Safari Ya Samburu - Les Wanyika.
Safari Ya Samburu - Les Wanyika.
Ufukara Sio Kilema [with Lyrics] by Les Wanyika
Ufukara Sio Kilema [with Lyrics] by Les Wanyika
Les Wanyika   Barua yako new)
Les Wanyika Barua yako new)
Les Wanyika - Topic
Les Wanyika - Topic

Lyrics

nitafanya nini sasa
ulimwengu wa leo
nitafanya nini sasa
ulimwengu wa leo

naona rafiki zangu
wananiandama vibaya
naona rafiki zangu
wananiandama vibaya

nia yao ni kutaka kuniharibia maisha yangu eeh
nia yao ni kutaka kuniharibia maisha yangu eeh

nikicheka nao
ninaona ni rafiki kumbe ni nyoka
nikicheka nao
ninaona ni rafiki kumbe ni nyoka

adui mkubwa duniani
adui mkubwa duniani
adui mkubwa duniani
adui mkubwa duniani

mbaya wako
rafiki yako eeh
mnayekula
naye pamoja
mbaya wako
rafiki yako eeh
mnayekula
naye pamoja

sasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eeh
sasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eeh

nashangaa leo leo mama eeh
marafiki zangu sasa ndio adui
nashangaa leo leo mama eeh
marafiki zangu sasa ndio adui
mbaya wako
rafiki yako eeh
mnayekula
naye pamoja
mbaya wako
rafiki yako eeh
mnayekula
naye pamoja

sasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eeh
sasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eeh

nashangaa leo leo mama eeh
marafiki zangu sasa ndio adui
nashangaa leo leo mama eeh


Albums has song "Nitafanya Nini"