Song info
"Kajituliza Kasuku" Videos
Lyrics
kajituliza kwake Kasuku eeh oyo
hataki maneno, hataki maneno
anachopata kinamtosha
hataki matata, hataki matata
naomba Mungu amsaidie, oyo
daima milele, aah
Kasuku eeh
kajituliza kwake Kasuku eeh oyo
hataki maneno, hataki maneno
anachopata kinamtosha
hataki matata, hataki matata
naomba Mungu amsaidie, oyo
daima milele, aah
Kasuku eeh
kajituliza kwake Kasuku eeh oyo
hataki maneno, hataki maneno
anachopata kinamtosha
hataki matata, hataki matata
naomba Mungu amsaidie, oyo
daima milele, aah
Kasuku eeh
kajituliza kwake Kasuku eeh oyo
hataki maneno, hataki maneno
anachopata kinamtosha
hataki matata, hataki matata
naomba Mungu amsaidie, oyo
daima milele, aah
Kasuku eeh
kajituliza kwake Kasuku eeh oyo
hataki maneno, hataki maneno
anachopata kinamtosha
hataki matata, hataki matata
naomba Mungu amsaidie, oyo
daima milele, aah
Kasuku eeh
Les Wanyika
twakuombea
baraka njema
uendelee
Kasuku mwana
Les Wanyika
twakuombea
baraka njema
uendelee
Kasuku mwana
uendelee
Kasuku mwana
uendelee
Kasuku mwana
- 0 Bản dịch
Hiện tại chưa có lời dịch cho bài hát này. Bạn hãy là người đầu tiên chia sẻ lời dịch cho bài hát này nhé !
Đăng lời dịch
Recent comments