LOADING ...

Ukimwona

Song info

"Ukimwona" (2013)

"Ukimwona" Videos

Diamond Platnumz - Ukimuona (Official Audio Song) - Diamond Singles
Diamond Platnumz - Ukimuona (Official Audio Song) - Diamond Singles
Diamond Platnumz Ukimuona
Diamond Platnumz Ukimuona
Diamond akiimba Ukimuona, Akabadilisha mashairi akawa anamtaja Zari
Diamond akiimba Ukimuona, Akabadilisha mashairi akawa anamtaja Zari
Christian Bella   Ukimwona REMIX by Diamond Platnumz
Christian Bella Ukimwona REMIX by Diamond Platnumz
Diamond Platnumz - ukimwona (Official Music Video)
Diamond Platnumz - ukimwona (Official Music Video)
diamond platinumz - ukimwona (official video)
diamond platinumz - ukimwona (official video)
Diamond Ukimwona
Diamond Ukimwona
Diamond Platnumz - Live Performance At Vodacom wasafi beach party (jangwaniseabreeze part 3)
Diamond Platnumz - Live Performance At Vodacom wasafi beach party (jangwaniseabreeze part 3)
Diamond Platnumz - Ukimwona Karaoke Lyrics & Beat(Official Video)
Diamond Platnumz - Ukimwona Karaoke Lyrics & Beat(Official Video)
Kayumba Juma  BSS2015 - Ukimwona Episode 11 Full Peformance
Kayumba Juma BSS2015 - Ukimwona Episode 11 Full Peformance
Diamond platnumz ft Yemi Alade - ukimwona (official audio)
Diamond platnumz ft Yemi Alade - ukimwona (official audio)
Christian Bella akiimba wimbo wa Diamond Platnumz 'Ukimwona'
Christian Bella akiimba wimbo wa Diamond Platnumz 'Ukimwona'
Ukimwona (Remix)
Ukimwona (Remix)
Diamond Platnumz - Ukimuona Lyrics [MUTED]
Diamond Platnumz - Ukimuona Lyrics [MUTED]
Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)
Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)
Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video)
Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video)
Diamond Platnumz - Ukimwona (live perfomance)
Diamond Platnumz - Ukimwona (live perfomance)
DIAMOND PLATNUMZ LIVE ON THE SPORAH SHOW ( NATAKA KULEWA)
DIAMOND PLATNUMZ LIVE ON THE SPORAH SHOW ( NATAKA KULEWA)
Steven Lupenza BSS2015 - Nenda Kamwambie Episode 12 Full Peformance
Steven Lupenza BSS2015 - Nenda Kamwambie Episode 12 Full Peformance
DON AFROBOY _ UKIMUONA (video cover) by diamond platnumz
DON AFROBOY _ UKIMUONA (video cover) by diamond platnumz

Lyrics

mmmmhhhh
Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
yashanipiga sasa sinabudi nielewe
siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu
japo nishida ila, nitabaki mwenyewe
ohh ila , mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
na asisikie kisirani, hukumu ya mapenzi mabaya
hata ungali hai kayruki usingetibu gonjwa langu
kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)
sina amani nasaga rumba (rumba)
ohh unani dunda
sema chine tembee moyoo
unanidunda dunda (mamii moyooo)
sina amani nasaka rumba (oohh mimii)
ohh unani dunda
eeeeeeehhhhhhhhhh ukimuona
ukimuona ukimuona
ukimuona ukimuona ukimuona
we nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya
tena wengi waongo, hawawazi ndanganye
oya ni mashoga rafiki, oohh marafiki wabaya
oooohhhh oooohhh mmmmmhhh
tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui
mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui
ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno
mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo
najaribu papasa, mbona ka macho ataona chochote
ila ndo kutwa mikasa, na nazidi kuanguka, niokote
kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)
sina amani nasaga rumba (rumba)
ohh unani dunda
sema chine tembee moyoo
unanidunda dunda (mamii moyoo)
sina amani nasaga rumba (ooohh mimii)
ohh unani dunda
eeeeeeehhhhhhhhhh ukimuona
ukimuona, ukimuona
ukimuona, ukimuona
ukimuona

Albums has song "Ukimwona"