LOADING ...

Kesho

Song info

"Kesho" (2013)

"Kesho" Videos

Diamond Platnumz-Kesho (Official Video)
Diamond Platnumz-Kesho (Official Video)
Diamond -  Kama Nikifa Kesho
Diamond - Kama Nikifa Kesho
Diamond Platnumz - Kesho (Official Audio Song) - Diamond Singles

Diamond Platnumz_ Kama Nikifa Kesho(Official Lyrics Video)

Diamond Platnumz_Nikama nikifa kesho(official video)

Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video)

Nataka Kulewa (Official Music Video HD) - Diamond Platnumz

Diamond Platinum - Kesho
Diamond Platinum - Kesho
Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)

Diamond Platnumz - Kamwambie (Official Video)

Diamond Platnumz - Mawazo (Official Video)

DUH! Ajitabira (kifo Siku Nikifa) Mateso ya FREEMASON/ILLUMINATI yazidi mtesa Diamond

Diamond Platnumz - Number One (Official Music Video HD 1080p)

Harmonize Ft Diamond Platnumz - Kwangwaru (Official Music Video)

AY feat. Diamond Platnumz - Zigo Remix (Official Music Video)

diamond platnum= == nikifa kesho
diamond platnum= == nikifa kesho
Nikifa Kesho by Diamond Platnumz (OFFICIAL LYRICS) - NEW

Diamond Platnumz ft Rayvanny - Salome (Traditional Official Music video)

Hata Kama nikifa Kesho Diamond aliona kipaji changu

Diamond Platnumz - Moyo Wangu (Official Video)

Lyrics

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(verse1)
Kwanza kabisa nitanyonga tai t'shirt na jeans nitatupa kidogoo
Niite nassib usiniite dai asije kukuona muhuni akapandisha mbogo
Na ukifika uagize chai savannah tequila uzipe kisogo
Kuhusu mavazi kimini haifai tupia pendeze ladha yake inoge
Even thou wanaponda eti we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even thou wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(verse2)
na usilete swagger za nai nai
ukanyoa kiduku kama moze liogo
eti shopping twende thai
wakati dada angu ana duka kigogo
ukikuta nguna usikatae
we zuga unapenda hatakama wa muhogo
kuhusu kabila wala silagai
Mama angu hana noma hatakama mgogo
Even thou wanaponda eti we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even thou wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(bridge)
mama yangu mama
mama nassib mama
mama diamond mama
mama yangu nyumbani
mama chali mama
mama sepetu mama
mama kidoti mama
na mama diamond nyumbani

(piano plays...)

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(piano plays......)

Albums has song "Kesho"