LOADING ...

Nataka Kulewa

Song info

"Nataka Kulewa" (2013)

"Nataka Kulewa" Videos

Nataka Kulewa (Official Music Video HD) - Diamond Platnumz

Nataka Kulewa (Lyrical Video) - Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Nataka Kulewa (Official Audio Song) - Diamond Singles

Diamond Platnumz- Kulewa Parody by Dogo Charlie (Nataka Kuhama ARSENAL)

Harmonize Ft Diamond Platnumz - Kwangwaru (Official Music Video)

Diamond Platnumz - Mawazo (Official Video)

Mos P akiimba Nataka Kulewa ya Diamond Platnumz

Diamond Platinumz- Nataka kulewa Lyrics
Diamond Platinumz- Nataka kulewa Lyrics
Diamond Platnumz - Mbagala (Official Video)

Aslay - Muhudumu (Official Video) SMS: 7660819 kwenda 15577 Vodacom Tz

DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)

ALi MuYa - Nampenda Binti yeye & Diamond Platinum - Nataka Kulewa Music Video Remix

Diamond Platnumz-Kesho (Official Video)
Diamond Platnumz-Kesho (Official Video)
Diamond Platnumz - Moyo Wangu (Official Video)

Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)

Diamond Platnumz - Number One (Official Music Video HD 1080p)

Diamond Platnumz - Kamwambie (Official Video)

Diamond Platnumz Non-Stop Hit Songs | Video Jukebox

Diamond Platnumz - Sikomi (Official Video)

DIAMOND PLATNUMZ LIVE ON THE SPORAH SHOW ( NATAKA KULEWA)

Lyrics

we niache niende niende! niende niende!
niache niende niende, niende niende!

(verse1)
Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua
Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua
Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua
oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenikaa moyoni

(chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage ardhini

nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage ardhini

we niache niende niende!, niende niende!
niache niende niende, niende niende!

(verse2)
Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa
kukata vilimi limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda
kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu unajisumbua
si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawahonga

oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenijaa moyoni

(chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi

nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage ardhini

we niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende!
niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende!

[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]

Albums has song "Nataka Kulewa"