LOADING ...

Matatizo

Song info

"Matatizo" (2015)

"Matatizo" Videos

Just A Band - Matatizo
Just A Band - Matatizo
Matatizo
Matatizo
Just A Band - Matatizo (Lyric Video)
Just A Band - Matatizo (Lyric Video)
Just A Band - Matatizo
Just A Band - Matatizo
Matatizo /// Just A Band (cover)
Matatizo /// Just A Band (cover)
Ondi: Matatizo by Just a Band
Ondi: Matatizo by Just a Band
Just a Band - If I Could from ech0
Just a Band - If I Could from ech0
Just a Band
Just a Band
Just A Band - Ha-He
Just A Band - Ha-He
Just A Band - Probably For Lovers
Just A Band - Probably For Lovers
Just A Band & Nonini - HaHe Remix (Official Video) [SMS "Skiza 6110078" to 811]
Just A Band & Nonini - HaHe Remix (Official Video) [SMS "Skiza 6110078" to 811]
Just A Band - If I Could
Just A Band - If I Could
Just A Band - Forever People (Abridged from Kudishnyao!)
Just A Band - Forever People (Abridged from Kudishnyao!)
Just A Band - Winning In Life Feat. Owuor Arunga
Just A Band - Winning In Life Feat. Owuor Arunga
Just a Band - WATU from ech0
Just a Band - WATU from ech0
Just A Band - Away (BLNRB) with Michel Ongaro, Gebrüder Teichmann, Jahcoozi
Just A Band - Away (BLNRB) with Michel Ongaro, Gebrüder Teichmann, Jahcoozi
Just A Band - Usinibore
Just A Band - Usinibore
HARMONIZE - MATATIZO (Official Video )
HARMONIZE - MATATIZO (Official Video )
Hamis Juma & DDC Mlimani Park Orchestra ~ Matatizo Ya Nyumbani
Hamis Juma & DDC Mlimani Park Orchestra ~ Matatizo Ya Nyumbani
Just a Band - Watasema from ech0
Just a Band - Watasema from ech0

Lyrics

Aye aye aye
Ndugu yangu we
usiwe na shaka
Mimi niko oo
Kitakacho tokea nitakusaidia
Matatizo oo-o
Ni ya kila mtu
Haya kuarifu yanapokujia
Yanapotokea nitakusaidia

Yaliponipata wengi walicheka sana
Kwangu mimi naona ni kawaida
Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea
Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya

Aye aye aye
Ndugu yangu we
usiwe na shaka
Mimi niko o-o
Kitakacho tokea nitakusaidia
Kwangu mimi naona ni kawaida
Matatizo o-o
Ni ya kila mtu
Haya kuarifu yanapokujia
Yanapotokea nitakusaidia
Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya

Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea
Kwangu mimi naona ni kawaida

Kwangu mimi naona ni kawaida
Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea

Yaliponipata wengi walicheka sana
Kwangu mimi naona ni kawaida

Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea
Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya


Albums has song "Matatizo"