Song info
"Ha He" Videos
Lyrics
Microphone check one, one two (Musyoka)
Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare
Mi si mnati, si Barbie, niko tu katikati
Staki kuskiza story za charity, charity
Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity
Sema oh
Ha-He
Juu tuko works mzeiya (Ha-he)
Evacuate the area (Ha-he)
Juu tuko works mzeiya (Ha-he)
Serikali haijali
So naona mbwa kali afadhali
Dame amejam juu dough haikam
Na siwezi kum-show ati life ni exam juu
Ntatupiwa sufuria
Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi
So nikikipita tao tao
Ju sio madharau-rau
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area (Ha-he)
Juu tuko works mzeiya (Ha-he)
Nipe, nipe nafasi
Nikueleze kiasi
Vile sisi hufanya
Pande hii ya the tracks
Hatuchezi na kazi
sipoteze wakati
Tumekunja mashati oo-ooh oo-ooh
Juu tuko works mzeiya (ha-he)
Evacuate the area (ha-he)
Juu tuko works mzeiya aa ah (ha-he)
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area (ha-he)
Juu tuko works mzeiya aah aah (ha-he)
Ha-he x10
Juu tuko works mzeiya (Ha-he)
Evacuate the area (Ha-he)
Juu tuko works mzeiya aah aah (Ha-he)
Juu tuko works mzeiya (Ha-he)
Evacuate the area (Ha-he)
Juu tuko works mzeiya aah aaah (Ha-he)
{Nipe, nipe nafasi (Ha-he)
Nikueleze kiasi (Ha-he)
Vile sisi hufanya (Ha-he)
Pande hii pande hii pande hii} x3
- 0 Bản dịch
Hiện tại chưa có lời dịch cho bài hát này. Bạn hãy là người đầu tiên chia sẻ lời dịch cho bài hát này nhé !
Đăng lời dịchAlbums has song "Ha He"
Singles
35 songs
- Probably For Lovers 2012
- Dunia Ina Mambo 2015
- Matatizo 2015
- Huff + Puff 2015
- Have You Seen Her 2015
- Life of the Party 2015
- Extra 2015
- Funky Fine Beautiful 2015
- Get Down 2015
- Migingo Express 2015
- Kaa Ridho 2015
- Doot Doot 2015
- Uko Mbele 2015
- Lights Music Stars 2015
- Family Ties 2015
- Till We Try 2015
- Bye Bye 2015
- Another Chance 2015
- Fly 2015
- Stay 2015
- Usinibore 2015
- Twende Kazi 2014
- A While 2015
- Sunrise 2015
- If I Could 2015
- Forever People (Do It So Delicious) 2015
- Do You Mind 2015
- Looking For Home 2015
- Save My Soul 2015
- Tingiza Kichwa 2015
- Iwinyo Piny 2015
- Ha He 2015
- Thank You/Rebel With A Cause 2015
- Hey 2015
- Yamo Pa More 2015
Recent comments