LOADING ...

Dunia Ina Mambo

Song info

"Dunia Ina Mambo" (2015)

"Dunia Ina Mambo" Videos

Just A Band - Dunia Ina Mambo with Octopizzo and Stan
Just A Band - Dunia Ina Mambo with Octopizzo and Stan
Just A Band - Dunia Ina Mambo ft Octopizzo and Stan(Offical Video)Kenyan Music 2013
Just A Band - Dunia Ina Mambo ft Octopizzo and Stan(Offical Video)Kenyan Music 2013
The Mighty Cavaliers - Dunia Ina Mambo [ 1976 ]
The Mighty Cavaliers - Dunia Ina Mambo [ 1976 ]
Just A Band - Dunia Ina Mambo
Just A Band - Dunia Ina Mambo
TAHAMAKI (Fan Made Short)  DUNIA INA MAMBO by Just a Band/Mighty Cavaliers
TAHAMAKI (Fan Made Short) DUNIA INA MAMBO by Just a Band/Mighty Cavaliers
Dunia Ina Mambo
Dunia Ina Mambo
Dunia Ina Mambo
Dunia Ina Mambo
Lady Liza, Dunia ina mambo
Lady Liza, Dunia ina mambo
Afande sele - Dunia ina mambo
Afande sele - Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
justabandwidth
justabandwidth
DUNIA INA MAMBO
DUNIA INA MAMBO
Just A Band - Topic
Just A Band - Topic
Just a band
Just a band
Duuuuuhh kweli dunia ina mambo
Duuuuuhh kweli dunia ina mambo
Dunia Ina Mambo
Dunia Ina Mambo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Top Tracks - Just a Band
Top Tracks - Just a Band
Atomic - Dunia ina mambo
Atomic - Dunia ina mambo
Dunia Ina Mambo - JOSEPHINE MWASULAMA
Dunia Ina Mambo - JOSEPHINE MWASULAMA

Lyrics

Oh oh
Dunia ina mambo bana
Usishangae sana, sana
Tena sana, sana (eh ehe eh)
Hata mimi nashanga bana
(Hata mimi ( nashanga bana x2)
Ukiniona waniona na aibu sana,
Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana,
Siku hizi naogopa kuomba bwana,
Juu hata mifuko za wakora zaibaangwa sana,
Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki,
Nikalimwa na asali,
Weka tumbo mbele wacha akili nyuma,
Maiti kavalia,
Walisema sikuskia, oo

Mama na baba walinighusia ewe kijana,
Kuwa mwanangu jionee
Dunia ina mambo
Yao sikuyasikiza,
sasa mimi najuta,
Kweli najionea,
Dunia ina mambo
Hey

Chorus
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo

Nafunga bao,
Niite pita dao,
Ubaya ya binadamu
Ni rahisi kusahau,
Changu ni chetu,
Lakini Chako ni chako,
Mtu wangu ah aah wacha vako,
Marafiki wamekuwa manafiki bana,
Najionea tena kushangaa sana
Niliacha kuwa mjinga, (nini)
Ati sasa najiringa,
Ukistaajabu ya Musa ya Firauni bado

Walinambia kijana,
Jihadhari na 'limwengu
Hao walimwengu si wazuri kwako kijana,
Yao sikuyasikiza,
Sasa mimi najuta
Kweli najionea,
Dunia ina mambo
Hey

Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo

Ukiwa nao leo marafiki ni wengi sana
Watakusifu -oo wewe kijana mzuri
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Ukiwa hunawo wengi wanakukimbia
Na mengi kusema wewe kijana mbaya
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo)

Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo

Dunia ina mambo ooo oooo wo wo wo wo wo wo
Dunia ina mambooo
Dunia ina mambo
Dunia ina mamboo
Ah aah aaah
Ah aah aaah


Albums has song "Dunia Ina Mambo"