(Hook) Kila nikiwa na weweee Waonesha babyyy Ila nikiwa nawee.. Wanionyesha kwanini Im x 10
(Verse 1) I know we, cant be the same as we to, But jua kwenye we umeniweka mahabusu, Hua namind my own but, we unanihusu, Im kwa chochote kama utaniruhusu, I wish I cut off the crap but my heart free me, I gotta know, we una kisa na mimi, nnapokusemesha baby unainama chini, Youre reason mi nakesha na wala hunipi umakini, kama nachanganywa na mizuka, Tangu hata jani likinigusa tu nashtuka, ulichokosa ukajitusu ukanitosa, Ukaniumiza sio tena zaidi ya uzito wa kosa, Moyoni nakosa amani, mawazo juu mummy, Sina imani naanza kupadiss maskani, Phone hupatikani, huonekani, Sometimes hapa duniani nna mkosi gani?
(Chorus) Im x 10
(Verse 2) wanasema mi bonge la threat, Wananiona kumbi za starehe nakucheat, kumbi za starehe nakubali, I admit it Most hua nakua mwenyewe no girls Ill be with, nnachosema ila unaamini wanachosema, Bila mimi, uliniahidi mapema, mi ni nyoka kadri sumu nnavyotema, Na utapoondoka uwe kinyume ya chanda chema, Baby, nna damu najua nini The way utaja niua kwa wivu, Mi ntatenda ntarudisha usikivu, Daima mi ntakupenda kua mvumilivu, Siwezi siwezi kuishi bila wewe, Basi sema, what should I do labda ndo Chanda chema, umeninyima ungeniambia mapema, Nahisi nna sababu ya kusema kua sitokuja penda tena
(Hook) - Naona nachanganyikiwa, kama sipati raha... (You confuse me...I'm confused now) x 2 (Please baby don't do like to me yeah) x 2
(Chorus) I'm x 10