(Hook) Kila mbali na weweee Waonesha kunipenda Ila nikiwa nawee.. kunichukia kwanini Im x 10
(Verse 1) I know we, cant be the as we used to, But jua kwenye we umeniweka mahabusu, Hua my own bizzz but, we unanihusu, Im kwa chochote kama utaniruhusu, I wish I cut off the crap but my cant free me, I know, we una kisa gani na mimi, Kila baby unainama chini, Youre reason mi nakesha na hunipi umakini, why? kama nachanganywa na mizuka, Tangu uondoke hata jani tu nashtuka, Najiuliza ulichokosa ukanitosa, Ukaniumiza sio kiduchu tena zaidi ya wa kosa, Moyoni nakosa amani, mawazo juu mummy, Sina imani kupadiss hata maskani, hupatikani, nyumbani huonekani, Sometimes najiuliza duniani nna mkosi gani?
(Chorus) Im x 10
(Verse 2) Nduguzo mi bonge la threat, Wananiona nyingi za starehe nakucheat, Kama za starehe nakubali, I admit it hua nakua mwenyewe no girls that Ill be with, Huamini nnachosema ila wanachosema, mimi, uliniahidi utajiua mapema, Wanasema mi ni kadri sumu nnavyotema, Na ntafurahi uwe kinyume ya chanda chema, Baby, nna najua nini maumivu The way tunavyokwenda niua kwa wivu, Mi ntatenda utachopenda usikivu, Daima mi ntakupenda kua mvumilivu, Siwezi kusema siwezi kuishi wewe, Basi sema, what I do labda ndo unielewe? Chanda chema, umeninyima ungeniambia mapema, Maana Nahisi nna sababu ya kusema kua penda tena
(Hook) - Naona nachanganyikiwa, Naona sipati raha... (You confuse me...I'm confused now) x 2 (Please baby don't do like to me yeah) x 2
(Chorus) I'm x 10