LOADING ...

Luyện nghe bài hát Zoba

Hướng dẫn luyện nghe

Bạn hãy nghe bài hát và điền từ còn thiếu vào các ô trống.
Sau khi điền hết, bạn nhấn nút gửi bài ở phía dưới để được chấm điểm.
Với những câu trả lời sai, bạn hãy rê chuột lên ô nhập để xem đáp án đúng.
Nếu bạn muốn luyện nghe lại với các ô trống khác thì click vào link "Làm lại bài điền từ khác" ở cuối bài.

Bắt đầu làm bài nào

Mafunzo yote! Pozi zote! yote!
Eti binti Nimesubiri sana,
nimechukua za uso, deki!
Si huu? Aiyey!

Subira ndiyo iliyoniponza Ngoja, ngoja,
Zoba
Subira ndiyo iliyoniponza Ngoja, ngoja,
naonekana
Kwa nilimpenda kweli (4x)
1
Mawazo, yatawala kichwa changu,
ee Maumivu, maumivu yamevunja moyo
ee Kusubiri, kusubiri, nimekusubiri mpenzi
ee Lakini umekuja kuuvunja wangu
ee Nilikuwa nikamili nisifanye jambo lolote
Mpaka tufunge ndoa,
umalize na masomo umekwenda huko chuoni
ee Umebadilika mama, umebadilika, umebadilika sana Mama yo, yo Mama yo, mama yo, mama yo Unaniona mimi Zoba, Zoo-oba ee

Subira yangu ndiyo
(Imeniponza miye ee) Ngoja, ngoja, Zoba
(Zoba la mapenzi ee) Subira yangu ndiyo iliyoniponza (Nimepotezwa miye ee) Ngoja, ngoja, mjinga (Sijui la kufanya ee) Kwa sababu nilimpenda kweli
(Kweli eee) Kwa sababu nilimpenda
(Nilimpenda kweli) Kwa sababu nilimpenda kweli (Nilimpenda kweli ooo) Kwa nilimpenda kweli (Mama yo, mama yo)
2
Inauma sana, mpenzi wako sana,
wamlinda sana, Wapata habari, mwenzako Kampenda sana, rafiki yako Ndo maana juzi,
umeacha mazoezi Ndo maana siku hizi
kuwa na mimi Mapenzi (mapenzi) (yananiumiza) Mapenzi (mapenzi) yananitesa
(nitakulinda wewe) ya mapenzi,
ya mwiba Sikitiko la mahaba,
la shinda msiba mama
Nitafanya jambo lolote kwa yako
nakuwa na wewe, wewe ee
Mama yo, mama yo, yo
Unaniona mimi Zoba, ee

Subira yangu iliyoniponza (Imeniponza miye ee) Ngoja, ngoja, naonekana Zoba (Zoba la mapenzi ee)
Subira yangu iliyoniponza (Nimepotezwa miye ee) Ngoja, ngoja, naonekana mjinga (Sijui la kufanya ee)
Kwa sababu nilimpenda (Kweli ee)
Kwa nilimpenda kweli (Nilimpenda kweli ee)
Kwa sababu nilimpenda kweli (Nilimpenda oo)
Kwa sababu nilimpenda kweli yo, mama yo (3x) Nitakulinda wewe, mpenzi wangu wewe
Hii ni naiweka kwako wewe
oo, wewe oo
Upo kwa ajili ee
Nitasubiri siku Litunze penzi langu mama
Mapenzi, mapenzi, mapenzi,
mapenzi, mapenzi, mapenzi,
mapenzi, mapenzi
mabaya, mapenzi mabaya,
mapenzi mabaya, mabaya
Lakini wangu, mapenzi,
umalize masomo tuwe wapenzi
Tufunge ndo na we nakupenda
Nakupenda kama wali wa nazi (I you)
Mbona mwenyewe, kusubiri oo,
kusubiri mama,
nikaonekana Nikija kungoja,
siku zote

Videos

Banana Zoro - Zoba
Banana Zoro - Zoba
The B-band - Nzela
The B-band - Nzela
Banana Zoro x Kenzo rhymes _ Zoba _ Re Fix (Official audio)
Banana Zoro x Kenzo rhymes _ Zoba _ Re Fix (Official audio)
Banana Zoro Akirekodi Zoba
Banana Zoro Akirekodi Zoba
Hafsa ft Banana Zorro - Pressure
Hafsa ft Banana Zorro - Pressure
Young Killer ft  BananaZorro - Umebadilika ( Official Video )
Young Killer ft BananaZorro - Umebadilika ( Official Video )
Enika - Changanya Changanya
Enika - Changanya Changanya
BANANA ZORRO NZELA
BANANA ZORRO NZELA
Banana Zoro - Mama Yangu
Banana Zoro - Mama Yangu
Banana Zorro - Recording Zoba
Banana Zorro - Recording Zoba
Christian Bella ft Banana Zoro | Usilie |Official Video
Christian Bella ft Banana Zoro | Usilie |Official Video
Banana Zoro - Zoba (Karaoke Version) #karaoke #bananazorro #bongo #flava #swahiliwood #mwanaimage
Banana Zoro - Zoba (Karaoke Version) #karaoke #bananazorro #bongo #flava #swahiliwood #mwanaimage
KILICHO ONEKANA KATIKA NYIMBO YA DIAMOND MTASUBIRI NA BANANA ZORO ZOBA HADI KUFUNGIWA KWANINI BANANA
KILICHO ONEKANA KATIKA NYIMBO YA DIAMOND MTASUBIRI NA BANANA ZORO ZOBA HADI KUFUNGIWA KWANINI BANANA
MPENZI NAKUPENDA by BANANA ZORO ft MARIA SAROME
MPENZI NAKUPENDA by BANANA ZORO ft MARIA SAROME
ZOBA BY BANANA ZORRO
ZOBA BY BANANA ZORRO
Subira yangu by Banana Zorro ( COVER )
Subira yangu by Banana Zorro ( COVER )
Théâtre Congolais Muana Ya Mosala ( Zoba Zoba ) ( 2 )
Théâtre Congolais Muana Ya Mosala ( Zoba Zoba ) ( 2 )
Zoba - Leyla Khatib
Zoba - Leyla Khatib
Mpuku Zoba
Mpuku Zoba
Banana Zoro   Niko radhi
Banana Zoro Niko radhi