LOADING ...

Luyện nghe bài hát Zoba

Hướng dẫn luyện nghe

Bạn hãy nghe bài hát và điền từ còn thiếu vào các ô trống.
Sau khi điền hết, bạn nhấn nút gửi bài ở phía dưới để được chấm điểm.
Với những câu trả lời sai, bạn hãy rê chuột lên ô nhập để xem đáp án đúng.
Nếu bạn muốn luyện nghe lại với các ô trống khác thì click vào link "Làm lại bài điền từ khác" ở cuối bài.

Bắt đầu làm bài nào

Mafunzo yote! zote! Mauzo yote!
Eti hanitaki Nimesubiri sana,
za uso, kuda deki!
Si huu? Aiyey!

Subira yangu ndiyo Ngoja, ngoja,
Zoba
Subira ndiyo iliyoniponza Ngoja, ngoja,
mjinga
Kwa nilimpenda kweli (4x)
1
Mawazo, mawazo yatawala changu,
ee Maumivu, yamevunja moyo wangu
ee Kusubiri, kusubiri, mpenzi wangu
ee Lakini umekuja kuuvunja moyo
ee Nilikuwa nikamili nisifanye lolote nawe
tuje tufunge ndoa,
umalize na masomo Huko umekwenda chuoni
ee Umebadilika mama, umebadilika, umebadilika Mama yo, mama yo Mama yo, mama yo, mama yo Unaniona mimi Zoba, Zoo-oba ee

Subira yangu ndiyo
(Imeniponza ee) Ngoja, ngoja, naonekana Zoba
(Zoba la mapenzi ee) Subira yangu ndiyo iliyoniponza (Nimepotezwa ee) Ngoja, ngoja, naonekana mjinga (Sijui la kufanya ee) Kwa sababu nilimpenda kweli
(Kweli eee) Kwa sababu kweli
(Nilimpenda kweli) Kwa nilimpenda kweli (Nilimpenda kweli ooo) Kwa sababu nilimpenda kweli (Mama yo, mama yo)
2
Inauma sana, mpenzi wako sana,
wamlinda sana, Wapata habari, mwenzako Kampenda sana, rafiki yako Ndo maana juzi,
umeacha mazoezi Ndo maana siku hutaki
kuwa na Mapenzi (mapenzi) yananiumiza (yananiumiza) Mapenzi (mapenzi) yananitesa
(nitakulinda wewe) ya mapenzi,
ya mwiba Sikitiko la mahaba,
la msiba Nitakulinda mama
Nitafanya jambo kwa ajili yako
nahakikisha na wewe, wewe ee
yo, mama yo, mama yo
Unaniona mimi Zoba, ee

Subira yangu ndiyo iliyoniponza (Imeniponza miye ee) Ngoja, ngoja, naonekana Zoba (Zoba la ee)
Subira yangu iliyoniponza (Nimepotezwa miye ee) Ngoja, ngoja, naonekana mjinga (Sijui la kufanya ee)
Kwa sababu kweli (Kweli ee)
Kwa nilimpenda kweli (Nilimpenda kweli ee)
Kwa nilimpenda kweli (Nilimpenda kweli oo)
Kwa sababu nilimpenda kweli yo, mama yo (3x) Nitakulinda wewe, mpenzi wangu wewe
Hii ni ahadi naiweka wewe
Wewe oo, oo
Upo kwa ajili ee
siku zote Litunze penzi langu mama
Mapenzi, mapenzi, mapenzi,
mapenzi, mapenzi, mapenzi,
mapenzi, mabaya
mabaya, mapenzi mabaya,
mapenzi mabaya, mabaya
mpenzi wangu, mapenzi,
umalize masomo tuwe wapenzi
Tufunge ndo na we mama
Nakupenda kama wali wa (I love you)
Mbona mwenyewe, Nimeamua oo,
kusubiri mama,
nikaonekana Zoba kungoja,
siku mama

Videos

Banana Zoro - Zoba
Banana Zoro - Zoba
The B-band - Nzela
The B-band - Nzela
Banana Zoro x Kenzo rhymes _ Zoba _ Re Fix (Official audio)
Banana Zoro x Kenzo rhymes _ Zoba _ Re Fix (Official audio)
Banana Zoro Akirekodi Zoba
Banana Zoro Akirekodi Zoba
Hafsa ft Banana Zorro - Pressure
Hafsa ft Banana Zorro - Pressure
Young Killer ft  BananaZorro - Umebadilika ( Official Video )
Young Killer ft BananaZorro - Umebadilika ( Official Video )
Enika - Changanya Changanya
Enika - Changanya Changanya
BANANA ZORRO NZELA
BANANA ZORRO NZELA
Banana Zoro - Mama Yangu
Banana Zoro - Mama Yangu
Banana Zorro - Recording Zoba
Banana Zorro - Recording Zoba
Christian Bella ft Banana Zoro | Usilie |Official Video
Christian Bella ft Banana Zoro | Usilie |Official Video
Banana Zoro - Zoba (Karaoke Version) #karaoke #bananazorro #bongo #flava #swahiliwood #mwanaimage
Banana Zoro - Zoba (Karaoke Version) #karaoke #bananazorro #bongo #flava #swahiliwood #mwanaimage
KILICHO ONEKANA KATIKA NYIMBO YA DIAMOND MTASUBIRI NA BANANA ZORO ZOBA HADI KUFUNGIWA KWANINI BANANA
KILICHO ONEKANA KATIKA NYIMBO YA DIAMOND MTASUBIRI NA BANANA ZORO ZOBA HADI KUFUNGIWA KWANINI BANANA
MPENZI NAKUPENDA by BANANA ZORO ft MARIA SAROME
MPENZI NAKUPENDA by BANANA ZORO ft MARIA SAROME
ZOBA BY BANANA ZORRO
ZOBA BY BANANA ZORRO
Subira yangu by Banana Zorro ( COVER )
Subira yangu by Banana Zorro ( COVER )
Théâtre Congolais Muana Ya Mosala ( Zoba Zoba ) ( 2 )
Théâtre Congolais Muana Ya Mosala ( Zoba Zoba ) ( 2 )
Zoba - Leyla Khatib
Zoba - Leyla Khatib
Mpuku Zoba
Mpuku Zoba
Banana Zoro   Niko radhi
Banana Zoro Niko radhi