LOADING ...

Mapenzi

Song info

"Mapenzi" (2013)

"Mapenzi" Videos

KIDUM - MAPENZI
KIDUM - MAPENZI
Kidum - Mapenzi
Kidum - Mapenzi
Mapenzi by Kidum Lyrics
Mapenzi by Kidum Lyrics
Mapenzi
Mapenzi
MAPENZI - Kidum (Lyrics Video)
MAPENZI - Kidum (Lyrics Video)
KIDUM Feat  LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO HD)
KIDUM Feat LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO HD)
KIDUM Feat. LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO) HD
KIDUM Feat. LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO) HD
kidum ft juliana - haturudi nyuma (Final Video)
kidum ft juliana - haturudi nyuma (Final Video)
MULIKA MWIZI - KIDUM feat. SANA [OFFICIAL VIDEO] HD
MULIKA MWIZI - KIDUM feat. SANA [OFFICIAL VIDEO] HD
Rama Dee (Mapenzi by Kidum cover)
Rama Dee (Mapenzi by Kidum cover)
Kidum Greatest Hits Songs
Kidum Greatest Hits Songs
KIDUM KIBIDO - KWETU (OFFICIAL VIDEO)
KIDUM KIBIDO - KWETU (OFFICIAL VIDEO)
KIDUM and LADY JAYDEE
KIDUM and LADY JAYDEE
KIPENDA ROHO feat. FRANKIE JOE
KIPENDA ROHO feat. FRANKIE JOE
Mapenzi
Mapenzi
MAPENZI YANA RUN DUNIA - ALI KIBA (NEW 2012)
MAPENZI YANA RUN DUNIA - ALI KIBA (NEW 2012)
Kidum - Number Moja (Final Video)
Kidum - Number Moja (Final Video)
Mapenzi - Kidum (Official Lyrics Video)
Mapenzi - Kidum (Official Lyrics Video)
Kidum Mapenzi (English Version)
Kidum Mapenzi (English Version)
Kidum - Amosozi y'urukundo lyrics (Audio Video)
Kidum - Amosozi y'urukundo lyrics (Audio Video)

Lyrics

Verse 1
Kama ni mapenzi
ya kuniudhi kila saa
ya kunifanya mi kulia
na kama huridhiki
na mbona hujasema
ili niweze rekebisha
nifanye mambo shwari
nikiamini u kwangu
na kukusifu kwa wazazi
hujali tenda hisia zangu
sijui tunapokwenda
lakini najua tulipotoka

kutoka sitoki nimetekwa nyara
kukuwacha siwezi kibarua ngumu
nashindwa ni nini ntafanya uridhike
nimetekwa ndani
mtandao wa mapenzi
basi nakuomba
uniteke tu bila mateso

Chorus
tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha

Verse 2
mi nashangaa
watu wakisema
eti tunapendana
japo tunazozana
ni vizuri mami
nyumba kuwa na siri
lakini jaribu
tusuluhishe
bila hivyo
itakuwa mchezo
wa kuigiza
kwenye mambo bandia
mimi sitaki
mambo ya kujifanya
ati tunapendana
tena tunatesana

nimejaribu sana kujitoa ndani
kila nikipanga napangua mwenyewe
natamani sana ungeelewa hivyo
mimi mateka
mimi pumbavu
wa penzi lako
nieleze ni lini ntakuwa huru

Chorus
tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha

Verse 3
jaribu baby
mambo
ya kunifanya kumbafu haifai
mambo yo yo yo yo yo
haifai
jaribu baby
tusuluhishe

nimejaribu sana kujitoa ndani
kila nikipanga napangua mwenyewe
natamani sana ungeelewa hivyo
mimi mateka
mahabusu
wa penzi lako
nieleze ni lini ntakuwa huru

Chorus
tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama unanipenda
jaribu kunipa raha


Albums has song "Mapenzi"