LOADING ...

Haturudi Nyuma

Song info

"Haturudi Nyuma" (2013)

"Haturudi Nyuma" Videos

kidum ft juliana - haturudi nyuma (Final Video)
kidum ft juliana - haturudi nyuma (Final Video)
Kidum ft.Juliana - Haturudi Nyuma (Lyrics)
Kidum ft.Juliana - Haturudi Nyuma (Lyrics)
KIDUM Feat. LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO) HD
KIDUM Feat. LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO) HD
Juliana Kanyomozi Ft Kidum - Haturudi Nyuma  live at  the  Project Fame show
Juliana Kanyomozi Ft Kidum - Haturudi Nyuma live at the Project Fame show
KIDUM - Haturudi Nyuma Live@The Waterfront Ngong Race Course
KIDUM - Haturudi Nyuma Live@The Waterfront Ngong Race Course
haturudi nyuma-juliana ft kidum
haturudi nyuma-juliana ft kidum
kidum ft juliana - haturudi nyuma
kidum ft juliana - haturudi nyuma
GILAD: Juliana Kanyomozi Ft Kidum - Haturudi Nyuma COVER #UPBEAT
GILAD: Juliana Kanyomozi Ft Kidum - Haturudi Nyuma COVER #UPBEAT
Haturudi nyuma live by Kidum and the Boda Boda band
Haturudi nyuma live by Kidum and the Boda Boda band
Kidum haturudi nyuma
Kidum haturudi nyuma
Mpita Njia - Alicios ft. Juliana [Official Video]
Mpita Njia - Alicios ft. Juliana [Official Video]
Juliana Kanyomozi Ft. Kidum - Haturudi Nyuma (DJ IAN EDIT)
Juliana Kanyomozi Ft. Kidum - Haturudi Nyuma (DJ IAN EDIT)
Kidum Kibido ft Juliana. Haturudi nyuma lyrics
Kidum Kibido ft Juliana. Haturudi nyuma lyrics
KIDUM - MAPENZI
KIDUM - MAPENZI
BEST OF KIDUMU
BEST OF KIDUMU
kidum ft juliana   haturudi nyuma
kidum ft juliana haturudi nyuma
Kidum - Haturudi Nyuma Live at the Godown Gig
Kidum - Haturudi Nyuma Live at the Godown Gig
KIDUM Feat  LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO HD)
KIDUM Feat LADY JAYDEE - NITAFANYA (OFFICIAL VIDEO HD)
HATURUDI NYUMA KAMWE - KIDUM
HATURUDI NYUMA KAMWE - KIDUM
Juliana Kanyomozi - Usiende Mbali (feat. Bushoke) [Official Music Video]
Juliana Kanyomozi - Usiende Mbali (feat. Bushoke) [Official Music Video]

Lyrics

Verse 1
nieleze vipi mimi ntaweza kuishi bila wewe
ukiniacha ukienda zako, penzi wewe
kama ni ukweli, yale nasikia kwa majirani
ya kwamba utakuja kwenda zako
uliniahidi, tutakuwa tukijadiliana
na maswali yangeleta utata
kwa nini chinichini
unanificha yanayokusinya
lakini unayosema, ni majirani
kwa nini kando kando
unanificha yanayokuudhi
lakini unayateta kwa marafiki

ukiniacha mi ntalia
ukienda zako ntabaki naumia
kama ungelijua
uoga ni lao, kukupoteza
ndio nasema, baby

Chorus
nakuomba please ubaki nami
nasema penzi
nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi
ya kuanza tena
tunayo nafasi
ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe
haturudi nyuma kamwe

Juliana wee

Verse 2
watu wanasema kama karibuni wee unaoa tena
ya kwamba nianze kujipanga
si ukweli, nimekataa
ni tahadhari kubwa kwangu, na unanitisha
sijui nimekosea wapi
uliniahidi
kama kila jambo lote la nyumbani
ni muhimu kuliweka wazi
Ni kuki shenge
Uguma buri gihe umbabaza
Kandi uzi ko ngukunda
Ni kuki rukundo
Uguma untera umujinya
Ukica amatwi ngukunda

ukiniacha mi ntalia
ukienda zako ntabaki naumia
kama ungelijua
uoga ni lao, kukupoteza
ndio nasema, baby

Chorus
nakuomba please ubaki nami
nasema penzi
nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi
ya kuanza tena
tunayo nafasi
ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe
haturudi nyuma kamwe

Albums has song "Haturudi Nyuma"