Song info
"Mama" Videos
Lyrics
Ukarimu, heshima baadhi yaliyo nivutia kwake Mara ya kwanza kamuona nilistaajabu Sio siri kuna vile anavyo nichanganya Na siwezi kujitoa, He's one in a million Chorus Oh Mama, I think I'm in love
Oh Daddy, please let us be
Let us be let us be let us beee x 2
Najua kazi yake haiwaridhishi Mwanamuziki yes
lakini daddy he respects me
And he loves me for who I am
Na nampenda for who he is S
io daktari ama lawyer vile mlivyo taka
Chorus x 2
Bridge
(talking) Mama, daddy don't get me wrong
I respect you and I love you
Naninajua asiye sikia la mkuu huvunjika guu
But mama si uliniambia pia wewe ulipitia
chenye mimi ninapitia
Ati dad hakuwa choice ya akina cucu
Lakini mumekuwa pamoja, mumejengana
And dad don't worry l'll always be your little girl
Chorus x 2
- 0 Bản dịch
Hiện tại chưa có lời dịch cho bài hát này. Bạn hãy là người đầu tiên chia sẻ lời dịch cho bài hát này nhé !
Đăng lời dịch
Recent comments