Song info
"Kitu Kimoja (Mimi na Wewe)" Videos
Lyrics
VERSE 1 LYRICS:
I wish you see how prietty I look
In this shoes that you bought for me
na ma-time natamani
ungeona how happy you make me
haijalishi kuwa haunioni
ninachojali mimi mapenzi yetu
CHORUS LYRICS:
Mimi na wewe kitu kimoja
sioni haya tukiwa pamoja
Mimi na wewe kitu kimoja
sioni haya tukiwa pamoja
mimi na wewe...
VERSE 2 LYRICS:
I wish you'd see the stars in the sky
just to see how amazing they look
I wish you'd see me write a song for you
alafu cheki wasee wakibambika
haijalishi kuwa haunioni
ninachojali mimi mapenzi yetu
CHORUS LYRICS:
Mimi na wewe kitu kimoja
sioni haya tukiwa pamoja
Mimi na wewe kitu kimoja
sioni haya tukiwa pamoja
mimi na wewe...
VERSE 3 LYRICS:
You use your heart to see what most of your sight don't see
unaona kila jinsi ya kunifurahisha, wafanya nihisi mapenzi kweli yapatikana
mimi na wewe...
- 0 Bản dịch
Hiện tại chưa có lời dịch cho bài hát này. Bạn hãy là người đầu tiên chia sẻ lời dịch cho bài hát này nhé !
Đăng lời dịch
Recent comments