A man di galis, light up the light up the chalice REKLES Piga goti eh, Panua domo eh, Toka ghetto naeza chizi peleke hadi kile, Shigishigi de, Out of ten kula ten Wenye nina wembe jo zaidi ya thao ntawape. Hapa mtaa si ndo uburn ka Hapana fuata msupa ka amekosa figure Na nikitupa one two jipa Yani a man a galis kiu bombastika. REKLES X Everyone Ushai 'lamba lolo' Ushai ' Lamba SESSKA Piga goti eh, Panua domo basi eh, Toe lolo unaeza chizi nduru hadi kile Shika toto fiti inama aki inama me na bend Aki back it ana sanif me na smama de Digidigi de, out of 10 kula 10 Penda venye una ni ka una ngoja bet Mambo ya selfie jo hapana katenje kabambe Odi waki anza dance katembe REKLES Na leo skanyagi base bana ju usha nmaliza zima umeze jo kwa giza Nipe nare chimney zaidi ya wiz khalifa Chain ni ya mtu mbili staki wageni kabisa [BRIDGE] Hapa si ndo uburn ka stima fuata msupa ka amekosa figure Na nikitupa one two asha jipa Yani a man a kiu bombastika. REKLES X Ushai 'lamba lolo' Ushai ' Lamba lolo' SWAT Ni swat na matire Tumekuja kuwasha tire Na adi nare Tunafah kula Tusake ao madem ndo tuwa daredare Ni swat na matire wanatuita odinaree ni ya maodinaree Shoot tatu ndio namba Npate bedroom na Ii ni ya wale wajanja Nawapeleka na rada Kula njuguu ongezah nguvu Na upewe rungu Upigeh mbaka uite tu jina ya mungu Na mtukutu akona kutu apewe Apige miti mbaka awiti askie fity ZILLA Skiza me nakuja dada me alive... everyday na boza me ndo king walai. cheki mita bana me nachase mandai. fala nigga bitch fala nigga maasai. me ndo king wa bana utanipata base. me ndo lover bana utanihanda less. kuja na fwatwa namalimo benz. . everydai nacall msupa toa panti bend [BRIDGE] goti eh, Panua domo basi eh, Toka ghetto naeza niku peleke hadi kile, Shigishigi de, Out of ten kula ten Wenye chuki nina jo zaidi ya thao ntawape. [HOOK] REKLES X Everyone Ushai lolo' Ushai ' Lamba