A man di galis, up the herb light up the chalice Piga goti eh, Panua domo basi eh, Toka ghetto naeza chizi peleke hadi kile, Shigishigi de, Out of ten kula ten Wenye nina wembe jo zaidi ya thao ntawape. Hapa mtaa si ndo uburn ka stima Hapana fuata msupa ka amekosa Na one two asha jipa Yani a man a galis kiu bombastika. [HOOK] REKLES X Everyone Ushai lolo' Ushai ' Lamba lolo' Piga goti eh, Panua domo basi eh, Toe lolo unaeza upige nduru hadi kile Shika toto fiti inama aki inama me na bend Aki back it ana sanif me na digi de Digidigi de, out of 10 kula 10 Penda venye una kaza ni ka una ngoja bet ya selfie jo katenje kabambe Odi waki anza dance katenje katembe REKLES Na leo skanyagi base bana ju nmaliza Stima zima mzinga umeze jo kwa giza Nipe chimney zaidi ya wiz khalifa Chain ni ya mtu mbili wageni kabisa [BRIDGE] Hapa mtaa si ndo uburn ka stima fuata msupa ka amekosa figure Na nikitupa one two asha Yani a man a galis kiu bombastika. REKLES X Ushai 'lamba lolo' Ushai ' Lamba SWAT Ni swat na matire Tumekuja kuwasha tire Na atuna adi nare Tunafah kula vibare Tusake ao madem ndo daredare Ni swat na matire wanatuita odinaree Combi ni ya maodinaree tatu ndio namba Npate bedroom na wangah Ii ni ya wale wajanja na rada njuguu ongezah nguvu Na upewe rungu Upigeh nduruu mbaka tu jina ya mungu Na mtukutu akona kutu apewe mutu Apige miti mbaka awiti askie ZILLA Skiza me nakuja dada me nalook alive... everyday na bana me ndo king walai. cheki mita dola me nachase mandai. fala nigga bitch fala nigga maasai. me ndo wa raga bana utanipata base. me ndo peter lover bana less. kuja na fwatwa namalimo benz. . everydai nacall toa panti bend [BRIDGE] Piga goti eh, Panua domo basi eh, Toka ghetto naeza chizi niku peleke kile, Shigishigi de, Out of ten kula ten Wenye chuki wembe jo zaidi ya thao ntawape. [HOOK] REKLES X Everyone Ushai 'lamba Ushai ' Lamba