LOADING ...

Luyện nghe bài hát Binti Kiziwi

Hướng dẫn luyện nghe

Bạn hãy nghe bài hát và điền từ còn thiếu vào các ô trống.
Sau khi điền hết, bạn nhấn nút gửi bài ở phía dưới để được chấm điểm.
Với những câu trả lời sai, bạn hãy rê chuột lên ô nhập để xem đáp án đúng.
Nếu bạn muốn luyện nghe lại với các ô trống khác thì click vào link "Làm lại bài điền từ khác" ở cuối bài.

Bắt đầu làm bài nào

Nimpate vipi mi sijui, ninaimani mapenzi
ugojwa wa moyo, kwa sababu ya mawazo Ninavyojuwa maisha yake, hajawai kuwa na boyfriend
Ila ni wakwanza naninashindwa kumpata
Kwa inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua Ningelizoe rafiki basi ye ni,ningemtumaaaa Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni,ningemtumaaaa Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika

Si siri binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka kiziwi
Si siri nataseka juu yake, ye kiziwi
Si ninampenda binti kiziwi
Kwakuwa wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti
2
Nashangaa pale nampomkutaaa, akiwa nawenzake wanaongeaaa Huwa najiuliza mimi, wanaongea,naye vipiiii Nashangaa muitaa,nahisi huwa anakata
Sijui ndio hasiki, au mapozi, au mapozi
Afadhali angejuae kusomae,hatachale kiumbe ningempa Eti kama ningejuwa isharaaa,basi kwake ningefika mimi Afadhali angejuwa kusomae, hata mbonge kiumbee ningempa Etikama ningejua isharaa,mbasi ningefika baby

Si siri binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti
Si siri juu yake,ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi Kwa moyo wamouteka binti kiziwi
kinauma mawazo kwake binti kiziwi
Rap
Binti kiziwi full yani yuko bombaa
Amenidatisha mnyamwezi nayake
Tatizo moja tu ambalo hulinasibu
Kila kukicha inikiwaza mimi sipati jibu
Nikimwambia neno i luv you halijuwi
Nikimwambie neno i need you
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata
Pingu nasikitika nikimwona kiziwi
Nikimwambia neno i luv you halijuwi
neno i need you halitambui
Nikimwimbia nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti

Hatakusema neno i luv kwake halijui
Hatakusema neno i need youuu kwake halitambui Hatakusema neno i luv kwake halijui
Hatakusema neno i need youuu kwake Baby,baby baby,booo,
baby i love you nateseka naye,
i need you Baby, baby, booo(uhuu),
baby i you (uhuhu) Baby (tuhuu) baby,
i you (uhu) Repeat Chorus till fade

Videos

Zanto Ft Pingu | Binti Kiziwi | Official Video
Zanto Ft Pingu | Binti Kiziwi | Official Video
Binti KIZIWI Asimulia YOTE, Alivyobeba MADAWA, JELA China, PENZI la Z Anto - "SITASAHAU"
Binti KIZIWI Asimulia YOTE, Alivyobeba MADAWA, JELA China, PENZI la Z Anto - "SITASAHAU"
Z Anto | Kisiwa Cha Malavidavi | Official Video
Z Anto | Kisiwa Cha Malavidavi | Official Video
Alikiba: binti kiziwi - cover by d golden
Alikiba: binti kiziwi - cover by d golden
Z-ANTO Awaliza wana Dar es salaam Awakumbusha Binti Kiziwi/Z anton Wasafi festival Dar
Z-ANTO Awaliza wana Dar es salaam Awakumbusha Binti Kiziwi/Z anton Wasafi festival Dar
Binti Kiziwi
Binti Kiziwi
Z ANTO AMPANDISHA BINTI KIZIWI  LIVE KWENYE STAGE
Z ANTO AMPANDISHA BINTI KIZIWI LIVE KWENYE STAGE
Z anto Ft Pingu - Binti Kiziwi Lyrics
Z anto Ft Pingu - Binti Kiziwi Lyrics
PENZI NI KIKOHOZI: BINTI KIZIWI, Z-ANTO WARUDIANA?/ SIRI ZA PENZI LAO ZAVUJA/ "TULIKURUPUKIA NDO..."
PENZI NI KIKOHOZI: BINTI KIZIWI, Z-ANTO WARUDIANA?/ SIRI ZA PENZI LAO ZAVUJA/ "TULIKURUPUKIA NDO..."
Mpenzi Jini - Z-Anto[www.nickojunior.com]
Mpenzi Jini - Z-Anto[www.nickojunior.com]
BINTI KIZIWI " Z Anto sijazaa naye | Hukumu yangu nilitafsiriwa na Mkenya | Nipo kwenye Mapenzi.!
BINTI KIZIWI " Z Anto sijazaa naye | Hukumu yangu nilitafsiriwa na Mkenya | Nipo kwenye Mapenzi.!
Binti Kiziwi - Zanto ft. Pingu (Lyric Video)
Binti Kiziwi - Zanto ft. Pingu (Lyric Video)
EXCLUSIVE:BINTI KIZIWI AKAE MBALI NA Z ANTON,NITAMVUNJA MIGUU NIENDE JELA/ANALAZIMISHA KURUDI KWA Z
EXCLUSIVE:BINTI KIZIWI AKAE MBALI NA Z ANTON,NITAMVUNJA MIGUU NIENDE JELA/ANALAZIMISHA KURUDI KWA Z
Bembeleza - marlaw (from Tanzania)
Bembeleza - marlaw (from Tanzania)
Z Anton -binti kiziwi
Z Anton -binti kiziwi
Z Anto - Nichape (Official Video)
Z Anto - Nichape (Official Video)
NI KWELI BINTI KIZIWI WA Z ANTO AMENYONGWA HONGKONG CHINA?
NI KWELI BINTI KIZIWI WA Z ANTO AMENYONGWA HONGKONG CHINA?
chipmunks - binti kiziwi (from Z-Anto)
chipmunks - binti kiziwi (from Z-Anto)
Z-ANTO Aweka Hadharani KURUDIANA NA Mpenzi wake BINTI KIZIWI
Z-ANTO Aweka Hadharani KURUDIANA NA Mpenzi wake BINTI KIZIWI
Z anton aludi kwa upya na hii
Z anton aludi kwa upya na hii