LOADING ...

Luyện nghe bài hát Binti Kiziwi

Hướng dẫn luyện nghe

Bạn hãy nghe bài hát và điền từ còn thiếu vào các ô trống.
Sau khi điền hết, bạn nhấn nút gửi bài ở phía dưới để được chấm điểm.
Với những câu trả lời sai, bạn hãy rê chuột lên ô nhập để xem đáp án đúng.
Nếu bạn muốn luyện nghe lại với các ô trống khác thì click vào link "Làm lại bài điền từ khác" ở cuối bài.

Bắt đầu làm bài nào


Nimpate mi sijui, ninaimani mapenzi hayajuiiihi
Nitapata ugojwa wa moyo, kwa sababu ya mawazo Ninavyojuwa maisha yake, kuwa na boyfriend
Ila ni mimi wakwanza naninashindwa
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua Eti anaskia, basi ukweli wangu angeujua
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni,ningemtumaaaa Ningezitambua ishara basi mi kwake ningefika Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni,ningemtumaaaa Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika

Si siri binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti
Si nataseka juu yake, ye binti kiziwi
Si siri binti kiziwi
Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti
Kichwa kinauma kwake binti kiziwiiii
2
Nashangaa pale nampomkutaaa, akiwa wanaongeaaa Huwa najiuliza mimi, wanaongea,naye vipiiii Nashangaa napo muitaa,nahisi huwa anakata
Sijui ndio hasiki, au mapozi, au mapozi
Afadhali angejuae kusomae,hatachale kiumbe ningempa Eti kama ningejuwa isharaaa,basi kwake ningefika mimi Afadhali angejuwa kusomae, hata mbonge kiumbee ningempa ningejua isharaa,mbasi kwake ningefika baby

Si siri ninampenda binti
Moyo wangu binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake,ye kiziwi
Si ninampenda binti kiziwi Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
kinauma mawazo kwake binti kiziwi
Rap
Binti kiziwi yuko full yuko bombaa
Amenidatisha mnyamwezi nayake
Tatizo moja tu ambalo mimi
Kila hata inikiwaza mimi sipati jibu
neno i luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno i you halitambui
Nikimwimbia nyimbo hata sikiii
nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
Nikimwambia i luv you wala halijuwi
Nikimwambie i need you halitambui
Nikimwimbia nzuri hata sikiii
nasikitika nikimwona mbinti kiziwi

Hatakusema neno i luv kwake halijui
Hatakusema i need youuu kwake halitambui Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno i need kwake halitambui Baby,baby baby,booo,
i love you Ingawa nateseka naye,
baby i you Baby, baby, booo(uhuu),
i love you (uhuhu) Baby (tuhuu) baby,
i need you (uhu) Repeat Chorus till

Videos

Zanto Ft Pingu | Binti Kiziwi | Official Video
Zanto Ft Pingu | Binti Kiziwi | Official Video
Binti KIZIWI Asimulia YOTE, Alivyobeba MADAWA, JELA China, PENZI la Z Anto - "SITASAHAU"
Binti KIZIWI Asimulia YOTE, Alivyobeba MADAWA, JELA China, PENZI la Z Anto - "SITASAHAU"
Z Anto | Kisiwa Cha Malavidavi | Official Video
Z Anto | Kisiwa Cha Malavidavi | Official Video
Alikiba: binti kiziwi - cover by d golden
Alikiba: binti kiziwi - cover by d golden
Z-ANTO Awaliza wana Dar es salaam Awakumbusha Binti Kiziwi/Z anton Wasafi festival Dar
Z-ANTO Awaliza wana Dar es salaam Awakumbusha Binti Kiziwi/Z anton Wasafi festival Dar
Binti Kiziwi
Binti Kiziwi
Z ANTO AMPANDISHA BINTI KIZIWI  LIVE KWENYE STAGE
Z ANTO AMPANDISHA BINTI KIZIWI LIVE KWENYE STAGE
Z anto Ft Pingu - Binti Kiziwi Lyrics
Z anto Ft Pingu - Binti Kiziwi Lyrics
PENZI NI KIKOHOZI: BINTI KIZIWI, Z-ANTO WARUDIANA?/ SIRI ZA PENZI LAO ZAVUJA/ "TULIKURUPUKIA NDO..."
PENZI NI KIKOHOZI: BINTI KIZIWI, Z-ANTO WARUDIANA?/ SIRI ZA PENZI LAO ZAVUJA/ "TULIKURUPUKIA NDO..."
Mpenzi Jini - Z-Anto[www.nickojunior.com]
Mpenzi Jini - Z-Anto[www.nickojunior.com]
BINTI KIZIWI " Z Anto sijazaa naye | Hukumu yangu nilitafsiriwa na Mkenya | Nipo kwenye Mapenzi.!
BINTI KIZIWI " Z Anto sijazaa naye | Hukumu yangu nilitafsiriwa na Mkenya | Nipo kwenye Mapenzi.!
Binti Kiziwi - Zanto ft. Pingu (Lyric Video)
Binti Kiziwi - Zanto ft. Pingu (Lyric Video)
EXCLUSIVE:BINTI KIZIWI AKAE MBALI NA Z ANTON,NITAMVUNJA MIGUU NIENDE JELA/ANALAZIMISHA KURUDI KWA Z
EXCLUSIVE:BINTI KIZIWI AKAE MBALI NA Z ANTON,NITAMVUNJA MIGUU NIENDE JELA/ANALAZIMISHA KURUDI KWA Z
Bembeleza - marlaw (from Tanzania)
Bembeleza - marlaw (from Tanzania)
Z Anton -binti kiziwi
Z Anton -binti kiziwi
Z Anto - Nichape (Official Video)
Z Anto - Nichape (Official Video)
NI KWELI BINTI KIZIWI WA Z ANTO AMENYONGWA HONGKONG CHINA?
NI KWELI BINTI KIZIWI WA Z ANTO AMENYONGWA HONGKONG CHINA?
chipmunks - binti kiziwi (from Z-Anto)
chipmunks - binti kiziwi (from Z-Anto)
Z-ANTO Aweka Hadharani KURUDIANA NA Mpenzi wake BINTI KIZIWI
Z-ANTO Aweka Hadharani KURUDIANA NA Mpenzi wake BINTI KIZIWI
Z anton aludi kwa upya na hii
Z anton aludi kwa upya na hii