LOADING ...

Viceversa

Song info

"Viceversa" (2014)

"Viceversa" Videos

Godson Jawabu - Viceversa
Godson Jawabu - Viceversa
Godson Jawabu - Viceversa acoustic cover
Godson Jawabu - Viceversa acoustic cover
NDUME x GODSON JAWABU - PERFORM  (OFFICIAL VIDEO) [Sms SKIZA 9046692 to 811]
NDUME x GODSON JAWABU - PERFORM (OFFICIAL VIDEO) [Sms SKIZA 9046692 to 811]
Viceversa
Viceversa
Bure -  Prince Jawabu (Official 4K Music Video) SMS: Skiza 7634914 to 811
Bure - Prince Jawabu (Official 4K Music Video) SMS: Skiza 7634914 to 811
Godson Jawabu & Hopekid Hk - Mzito Ni Yesu (Official 4k Video)
Godson Jawabu & Hopekid Hk - Mzito Ni Yesu (Official 4k Video)
KAMA KAWA BY GODSON JAWABU OFFICIAL VIDEO
KAMA KAWA BY GODSON JAWABU OFFICIAL VIDEO
@PrinceJawabu - Ile Siku (Sms Skiza 9045525 to 811)
@PrinceJawabu - Ile Siku (Sms Skiza 9045525 to 811)
Jawabu Music
Jawabu Music
Godson Jawabu singing Kama Kawa live
Godson Jawabu singing Kama Kawa live
Francesco Gabbani - Viceversa (Official Music Video) - Sanremo 2020
Francesco Gabbani - Viceversa (Official Music Video) - Sanremo 2020
OVER DI BAR - Godson Jawabu x Mc Price x Dr. Ofweneke x Ndume
OVER DI BAR - Godson Jawabu x Mc Price x Dr. Ofweneke x Ndume
Hopekid X Prince Jawabu - Injili (Official Video) "skiza 9049392" to 811
Hopekid X Prince Jawabu - Injili (Official Video) "skiza 9049392" to 811
Godson Jawabu interview on Vuka 360 Ebru Tv.
Godson Jawabu interview on Vuka 360 Ebru Tv.
Godson Jawabu & Ndume Crossover performance
Godson Jawabu & Ndume Crossover performance
Godson Jawabu with Hopekid hk Launching Mzito ni Yesu on 10/10 Citizen Tv.
Godson Jawabu with Hopekid hk Launching Mzito ni Yesu on 10/10 Citizen Tv.
Prince Jawabu - Maisha (Official music video)
Prince Jawabu - Maisha (Official music video)
jawabu
jawabu
Prince Jawabu
Prince Jawabu
Perform acoustic  by Godson jawabu, Ndume and Sarkozie
Perform acoustic by Godson jawabu, Ndume and Sarkozie

Lyrics

Godson Jawabu
Viceversa

- Intro -
mmmh mambo viceversa hivi mbona
Teddy B,. Godson Jawabu eh!

- Chorus -
mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi
mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona aaaaah mbona

- Verse one -
Kwa kanisa usingizi ni heavy,
Na lala kwa ibada kama mlevi
Sipati bibi napata ma baibe,
ngumu kusoma bible nasoma gazeti
Church inafaa tu spread kwa world na, world ndio sa ina spread kwa church,
Temptation zani kanda bongo man, nikisema ukweli nachanganya na uwongo man
mbona vile sio hivi, secular bado naskiza mimi
Yale nafaa ku do si do
Yale sifai ku do ndio na do do do do

- Chorus -
Mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi
mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona aaaaah mbona

- Verse two -
Aliombea wafu wakafufuka,
si tunaombea wagonjwa wanakufa
Ju ya mitume viwete walitembea,
wa siku hizi huwaona na kuchorea
Inakuaje kwa ma kanisani ndio kuna mapepe,
Vituko mingi na msarakasi nakaka nielewe eh
I say maombi tunalipia
Na upako tuna uziwa
Mambo haya sijasikia kwa bibilia

- Bridge -
Lipo lipo, lipo suluhisho lipo kwa Yesu
Lipo lipo, lipo ni kuanza upya tena
Lipo lipo, lipo suluhisho lipo wakristo
Lipo lipo, lipo ni kutafakari neno siyo maneno
ohhhh oh mambo viceversa hivi mbona?
ohhhh oh mambo viceversa hivi mbona?
eh eh eh eeeh

- Chorus -
Mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi
mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona aaaaah mbona

Albums has song "Viceversa"