LOADING ...

Penda Jirani

Song info

"Penda Jirani" (2015)

"Penda Jirani" Videos

Penda Jirani by Jentrix Asiba Akaka (Official video) Sms "SKIZA 6111643" TO 811
Penda Jirani by Jentrix Asiba Akaka (Official video) Sms "SKIZA 6111643" TO 811
Penda Jirani by Sovereign BTS #shorts  #pendajirani  #kenyangospel https://youtu.be/9E9-n0kW0ZM
Penda Jirani by Sovereign BTS #shorts #pendajirani #kenyangospel https://youtu.be/9E9-n0kW0ZM
Penda Jirani Yako - Ushindi Kwaya - (Vidéo Officielle)
Penda Jirani Yako - Ushindi Kwaya - (Vidéo Officielle)
Faustin Munishi Jirani Machozi Official Video (MOA)
Faustin Munishi Jirani Machozi Official Video (MOA)
Penda jirani yako , , by musembi.
Penda jirani yako , , by musembi.
Caroline Akinyi - Penda Jirani Yako  (Official Video)
Caroline Akinyi - Penda Jirani Yako (Official Video)
Esther Mutuku - Penda Jirani (Official Video)
Esther Mutuku - Penda Jirani (Official Video)
Jirani
Jirani
Jirani
Jirani
.PENDA JIRANI YAKO  UBARIKIWE
.PENDA JIRANI YAKO UBARIKIWE
Penda Jirani
Penda Jirani
Jirani yako mpende kama nafsi yako
Jirani yako mpende kama nafsi yako
penda jirani yako😂😂😂
penda jirani yako😂😂😂
jirani yako ni ndugu yako
jirani yako ni ndugu yako
J.I  - Kidato Kimoja (Official Video)
J.I - Kidato Kimoja (Official Video)
Penda Jirani
Penda Jirani
Jirani
Jirani
Penda Jirani Yako
Penda Jirani Yako
Jirani (feat. Belle 9)
Jirani (feat. Belle 9)
Dawa ya Jirani
Dawa ya Jirani

Lyrics

Acha fitina
Acha kuteta jirani yako ndugu yangu
Kwa sababu shida iki kupata
Yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Acha chuki acha uongo
Ina leta matenganyo kati jirani
Tafuta masikilizano
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Mwenye anapenda ndugu yake
Ana ishi katika mwangaza
Ooh oh
Uta sema jee una penda Mungu
Kama una chuki kwa jirani
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Wewe ambae ume pata neema
yaku sikiya mwimbo iyi badirika
ukisha mpenda
Ata kama yeye aku pendi
Uta barikiwa na Mungu

Penda jirani jinsi unaji penda
Timiza neno la Bwana mina kuomba
Usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
Penda kwa ukweli popote unapo enda

Albums has song "Penda Jirani"

Singles

Singles

  1 songs
Singles

Singles

  1 songs