LOADING ...

nitakukumbuka

Song info

"nitakukumbuka" (2016)

"nitakukumbuka" Videos

Diamond platnumz-NAKUKUMBUKA lyrics
Diamond platnumz-NAKUKUMBUKA lyrics
Diamond Platnumz - I miss you (Official Video)
Diamond Platnumz - I miss you (Official Video)
Diamond platnumz-Nitakukumbuka lyrics song
Diamond platnumz-Nitakukumbuka lyrics song
Diamond platnumz-Nitakukumbuka(mix video by Vj manecky)
Diamond platnumz-Nitakukumbuka(mix video by Vj manecky)
Diamond Platnumz - Haunisumbui (Official Lyrics)
Diamond Platnumz - Haunisumbui (Official Lyrics)
Diamond Platnumz - Nakukumbuka 'Video"
Diamond Platnumz - Nakukumbuka 'Video"
Diamond Platnumz - Mawazo (Official Video)
Diamond Platnumz - Mawazo (Official Video)
Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video)
Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video)
Diamond Platnumz - Kosa Langu (Official Audio)
Diamond Platnumz - Kosa Langu (Official Audio)
DIAMOND PLATINUMZ "NAKUKUMBUKA" NEW LEAKED SONG 2015
DIAMOND PLATINUMZ "NAKUKUMBUKA" NEW LEAKED SONG 2015
diamond platnumz nitakukumbuka video {HD{@DJLENARDLOVE COM
diamond platnumz nitakukumbuka video {HD{@DJLENARDLOVE COM
NEW DIAMOND PLATNUMZZ   NITAKUKUMBUKA = OFFICIAL AUDIO   YouTubevia torchbrowser com
NEW DIAMOND PLATNUMZZ NITAKUKUMBUKA = OFFICIAL AUDIO YouTubevia torchbrowser com
Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)
Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)
Diamond Platnumz - Nawaza (Lyric Video)
Diamond Platnumz - Nawaza (Lyric Video)
Diamond Platnumz   Ntakukumbuka
Diamond Platnumz Ntakukumbuka
Diamond Platnumz - Nitafanyaje (Official Music Video)
Diamond Platnumz - Nitafanyaje (Official Music Video)
Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya [Official Music Video]
Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya [Official Music Video]
Diamond Platnumz "Binadam" (Official HQ Audio Song)
Diamond Platnumz "Binadam" (Official HQ Audio Song)
Diamond Platnumz-Kesho (Official Video)
Diamond Platnumz-Kesho (Official Video)
Diamond Platnumz - Niache (Official Audio)
Diamond Platnumz - Niache (Official Audio)

Lyrics

VERSE 1
ooooh
ah
ale tate tate
ah
kinachoniuma ni mazoea
kunifanya nikeshe usiku na mchana
ah
au mate au mate
ah
mbele na nyuma nikingojea
huenda ikabadili mfupa kuwa nyama
ooh siri yangu siri
bado natunza iwe yangu
siri yangu
japo kuwa natamani kusema
wachache
bado naisubiri
mola hajanipa zamu yangu
aah
huenda utanikumbuka siku unifuate
ah
moyo kama nguo ukausasangua
kwa moshoga zako
ukaacha funguo
kwa kujishebetua ukaenda zako
moyo kama nguo ukausasangua
kwa moshoga zako
ukaacha funguo
kwa kujishebetua ukaenda zako

CHORUS
aah
rudi mama eeh
nakukumbuka
nakukumbuka eeh
nakukumbuka
mwenzako silali eeh
(x4)

VERSE 2
ah
niacheni mie
kinachoniuma ni mazoea
mie
siwezi kuficha nimekuzoea
mie
kinachoniuma ni mazoea
mie
siwezi kuficha nimekuzoea
hali yangu si shwari
mda wowote huenda naja (huenda naja)
fanya uje na daktari
tena ikibidi waganga (waganga)
na matafuta hodari
kutoka binga na tanga
wale nguli machachali
wapiga ndele kwa vanga
ooh ooh
hizi furaha za duniaa
mamaaa
ziko tangu vile iliaa
mamaaa
njoo nakusubiriaa
mamaaa
ona hata nakuimbiaa
mwenzako silali

CHORUS
aah
rudi mama eeh
nakukumbuka
nakukumbuka eeh
nakukumbuka
mwenzako silali eeh
(x4)
(x2)

Albums has song "nitakukumbuka"