LOADING ...

Msiniseme

Song info

"Msiniseme" (2013)

"Msiniseme" Videos

Ali Kiba - Usiniseme
Ali Kiba - Usiniseme
Ally Kiba - usiniseme
Ally Kiba - usiniseme
Ali kiba-cinderella
Ali kiba-cinderella
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official Music Video)
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official Music Video)
Nakshi mrembo - Ali Kiba
Nakshi mrembo - Ali Kiba
Darleen ft Ali kiba - Wajua
Darleen ft Ali kiba - Wajua
Alikiba: Binti Kiziwi
Alikiba: Binti Kiziwi
Ali Kiba - Mali Yangu
Ali Kiba - Mali Yangu
Ali Kiba - Mac Muga
Ali Kiba - Mac Muga
Ali Kiba - Dushelele
Ali Kiba - Dushelele
Ali Kiba Feat Chidi Benz - Far Away
Ali Kiba Feat Chidi Benz - Far Away
Usiniseme By Ali Kiba Cloudnine Sing Along Video
Usiniseme By Ali Kiba Cloudnine Sing Along Video
Alikiba - Chekecha Cheketua (Official Music Video)
Alikiba - Chekecha Cheketua (Official Music Video)
ALI KIBA - USINISEME
ALI KIBA - USINISEME
ALIKIBA - AJE (Official Video)
ALIKIBA - AJE (Official Video)
MAPENZI YANA RUN DUNIA - ALI KIBA (NEW 2012)
MAPENZI YANA RUN DUNIA - ALI KIBA (NEW 2012)
KIDATO KIMOJA RMX-DJ DESIRE
KIDATO KIMOJA RMX-DJ DESIRE
Alikiba - Lupela (Official Music Video)
Alikiba - Lupela (Official Music Video)
ALI KIBA - KARIM OFFICIAL VIDEO
ALI KIBA - KARIM OFFICIAL VIDEO
King music walivyopita na ngoma ya #MBIO ya #Alikiba
King music walivyopita na ngoma ya #MBIO ya #Alikiba

Lyrics

Hey (yei ye yee 2x soniyee)
Ye (lolo lololo lilele 3x)
Alike (yolo lilele) baby girl
CHORUS
Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula
Msinishangae 4x kwamba anapenda kula
Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula
VERSE(1)
Asi hivi juzi juzi Kulikuwa na shuguli
Utawa birika na simali Kulikuwa na pilau na wali
Basi nami nikajiunga Pale pale kupiga mvunga
Watu wakajipanga Nikaanza kwa tonge na nyama
Jamani
ninamatonge*4 Mpaka wakanifukuza
Nikasema sijali Nikatoa pesa mfukoni
Nikanunua mayai Nilijofuata watu wa wakai
CHORUS
Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula
Msinishangae 4x kwamba anapenda kula
Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula
VERSE (2)
Ilikuwa juma pili Siku ya watu wenye ufahali
Kujirusha sehemu mbali mbali
Nami nikasema leo sikubali
Wacha niendee*4 Ila pesa sina natadani kali
Nikapita sokoni Nikaomba embe sokoni
Nikaelekea baharini Nikawaona wengi ufukweni
Hakika na embe jiutani Nakula ili watamani
Mate yalwaijaa mdomoni Wakaanza kuniomba
Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula
Msinishangae 4x kwamba anapenda kula
Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula


Albums has song "Msiniseme"