LOADING ...

Milele

Song info

"Milele" (2017)

"Milele" Videos

Wayinke - Milele (Official Audio)
Wayinke - Milele (Official Audio)
Wayinke
Wayinke
Wayinke - Ni Yeye
Wayinke - Ni Yeye
Wayinke - Zama
Wayinke - Zama
Wayinke - Milele VIP Remix (Official Audio)
Wayinke - Milele VIP Remix (Official Audio)
Wayinke - Waiting For You (Official Audio)
Wayinke - Waiting For You (Official Audio)
Wayinke The Album Mix feat Billy The Dj
Wayinke The Album Mix feat Billy The Dj
Fred Obachi Machoka Gives Tips To Musicians On How To Make Lasting Songs On Mambo Mseto
Fred Obachi Machoka Gives Tips To Musicians On How To Make Lasting Songs On Mambo Mseto
I. WayinkeMUSIC || All Music Related Videos
I. WayinkeMUSIC || All Music Related Videos
PASTOR GRACE-YESU IN YEYE YULE 1080P
PASTOR GRACE-YESU IN YEYE YULE 1080P
Music videos
Music videos
Yesu ni Yule Yule by Ben Kwanzah
Yesu ni Yule Yule by Ben Kwanzah
I. WayinkeAUDIO || Audio Videos
I. WayinkeAUDIO || Audio Videos
Wayinke The Album Compilation
Wayinke The Album Compilation
Wayinke The Album CDs Now Out On Jumia
Wayinke The Album CDs Now Out On Jumia
KENYAN PLAYLIST BEST SONGS OF 2017
KENYAN PLAYLIST BEST SONGS OF 2017
Prince Meddy - Ni Yeye (Official Video)
Prince Meddy - Ni Yeye (Official Video)

Lyrics

STANZA
Siku zimepita zimekua wiki,
Wiki zimepita zimekua miezi,
Miezi zimepita sasa miaka mingi,
Niambie ulienda wapi,

CHORUS
Milele, milele , milele,
Nitazidi kutafuta we,
Hadi penzi langu nipate, eh eh
Tumaini langu sipotezi.

STANZA
Sasa naja kwako,
Na sijui kule we ulipo,
Nimeulizia kote, eh eh
Ila hakuna ajuae

[CHORUS]

BRIDGE
Nakuhisi kila time, nikikuwaza,
Siwezi ishi bila wewe, nakudai,
Sijui nitakuona vipi,
Niambie ulienda wapi,
Zako kiss kiss kiss nazimiss,
Mbona this that this unanifix,
Hadi sleep sijifeel nasidish,
Ohhh

[CHORUS]

AUTRO
Miaka zimepita zimebaki miezi,
Miezi zimepita zimebaki wiki,
Wiki zimepita zimebaki siku,
Dakika chache nitakufa bila we...


Albums has song "Milele"