LOADING ...

Luyện nghe bài hát Majuto

Hướng dẫn luyện nghe

Bạn hãy nghe bài hát và điền từ còn thiếu vào các ô trống.
Sau khi điền hết, bạn nhấn nút gửi bài ở phía dưới để được chấm điểm.
Với những câu trả lời sai, bạn hãy rê chuột lên ô nhập để xem đáp án đúng.
Nếu bạn muốn luyện nghe lại với các ô trống khác thì click vào link "Làm lại bài điền từ khác" ở cuối bài.

Bắt đầu làm bài nào

....yeah, thiz about man.....(chiness bizness) Every thing you do, Fikiria, hujui place utaishia...au sio
1
Skiza story yake, wa mabepari
alipozaliwa hali yake ilikuwa shwari
kama yeyote aliishi na wazazi
na alipotak chochote wazazi
hela za babake zilimpa ujeuri
hakuna mtu aloweza kumshauri
aliwachukua tu kama watu mabwege
bila kujua hatimaye hali yake
wazazi walimpenda mshkaji kaanza
kajiona ameshafaulu shuleni
kajiunga na vikundi haram
mi kwani hakufaham watampoteza?
mshkaji vituko kila kukicha
leo kaiba kesh okuku kamficha
kapelekwa kwa chief, ili kumkashif,
hapo bado kaishia mke wa chifu.

Nilimuonya lakini
aliona mimi siwezi kumsaidia
cheki sasa hatimaye
vitu ndo sa' vinamchukia x2
2
Zilipita chache hali ikizidi kuwa mbaya
bwana chifu kampitisha kwenye koti za
aloyapata siwez kusimulia
na mpaka siku ya leo nazifikiria
alifanywa atembee amefungwa miguu
wakamweka kwenye akisubiri siku kuu
at home, watu walishachoka naye
mpaka wake walishachoka kuishi naye
ilipowadia alipelekwa mahakamani
kesi yake iliposikizwa alihukumiwa
cheki sasa anajuta, nafsi
kwani yeye ndo chanzo kwa yote yalomkuta
sina uwezo mie wa kumsaidia
nilimuonya mara mia kama gunia
so, peace for life, story yangu
na mama hufunzwa na ulimwengu.
x2

Videos

Mzuka-Captain Smyzy and Ujo C
Mzuka-Captain Smyzy and Ujo C
Majuto (Live Studio Freestyle)
Majuto (Live Studio Freestyle)
JESCA MAGUFULI AIBUKA CHATO “NITASIMAMA NA HII NCHI, TUWAKUMBUKE WALIOTANGULIA”
JESCA MAGUFULI AIBUKA CHATO “NITASIMAMA NA HII NCHI, TUWAKUMBUKE WALIOTANGULIA”
Umejibu
Umejibu
Mswiz Boe - Hatupotei (Official Music Video)HipHop Music @mswizboe5085
Mswiz Boe - Hatupotei (Official Music Video)HipHop Music @mswizboe5085
MAPUMZIKO MAFUPI #bintiyangu #bintiyangu #funny #journalistcamp #journalistcamp #comedyfilms #comedy
MAPUMZIKO MAFUPI #bintiyangu #bintiyangu #funny #journalistcamp #journalistcamp #comedyfilms #comedy
"“Nilitolesha 2K CDs, na hata Principle mwenyewe Hakununua”!" - Jimzy Jyboy Ep 11 Part 1
"“Nilitolesha 2K CDs, na hata Principle mwenyewe Hakununua”!" - Jimzy Jyboy Ep 11 Part 1
Captain mwata_Yasijirudie(officialAudio)mp3.
Captain mwata_Yasijirudie(officialAudio)mp3.
Macho kwenye pay
Macho kwenye pay
ADHABU (feat. Captain Diego, Skelly Kenya & Chatu Boy)
ADHABU (feat. Captain Diego, Skelly Kenya & Chatu Boy)
MAGAZETI JUNE 23: MCHUNGAJI Yamfika Mazito!
MAGAZETI JUNE 23: MCHUNGAJI Yamfika Mazito!
Christians Abandoned Me, Muslims Rescued Me; Jaymoh Ule Msee Religious Gaslighting!!!
Christians Abandoned Me, Muslims Rescued Me; Jaymoh Ule Msee Religious Gaslighting!!!
Hakuna Network (feat. Msito, Fedoo, P Mawenge & Jimwat)
Hakuna Network (feat. Msito, Fedoo, P Mawenge & Jimwat)
Mr Captain Mushando Family
Mr Captain Mushando Family
Episode 3: Feat. SuReal, Milton Cheelo, DKap & Messenjah
Episode 3: Feat. SuReal, Milton Cheelo, DKap & Messenjah
Moshomoni (feat. Tumzen my Captain beats)
Moshomoni (feat. Tumzen my Captain beats)
MaStreets Akupisa
MaStreets Akupisa
CAPTAIN MEDIA
CAPTAIN MEDIA
Nitajuaje
Nitajuaje
Mesoni Mwanja
Mesoni Mwanja