Song info
"Hodari" Videos
Lyrics
La la lalaaa
La La Lalaaaa
Shombe shombe mtoto laini laini
Anawakawakaaa aaa
Wanga WAPE vidonge nimebaini baini
Wanatapatapaaa aaaaaa
Mmmh moi na wewe mpaka Kiama, tuombe Uzima
Waroge Kwa na kuchutama wasimame wimaa
Kamwe hawato pata mwanya habidhi fitinha
Wavige mabiringanya si tutoke dîne
Nalegeaa ukinitazma yako macho yako machoo
Nalegeaa ikigusana Yangu na yako, Yangu na yako
Katoto hodarii
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodarii wa mapenzi
Kwa michezo
Y
Chumbanii Hodarii hodari
Wa mapenz
Katoto Nyakanga kame mzidi somo nakubwi
Chumbani Kiranga kinaishaga komo Kirungi
Ni sakata makirikiri kuniwasha kama pilipili
Fundi hasa amekidhiri kunipa mpaka nilewee
Kwasa Kwasa Ndani bingiri
Za kukataga chilii nani Haswa unafikirii
Kama si wewee nichezeshe kidali sosi
Usiku wa mananee vangaa
Nikande kipanda uso tufunikane kanga
Nitishe boda la huko tukakutane tanga
Sie pin wa uputo wasijichanganye watapasuka
Nalegeaa ukinitazma yako macho yako machoo
Nalegeaa ikigusana Yangu na yako, Yangu na yako
Katoto hodarii
Hodari wa Mapenzi
Jamani Hodari
Hodarii wa Mapenzi
Kiuno kunengua hodarii
Hodari wa Mapenzi
Bidu kunibidua
Hodari wa Mapenzi
Wema Sepetu hodarii
Hodari wa Mapenzi
Uwoya hodarii
Hodari wa Mapenzi
Mama biscuit hodarii
Hodari wa Mapenzi
Mama Dangote hodarii
Hodari wa Mapenzi
Jack Wolper Hodari
Hodari wa Mapenzi
Zari mama tiffa Hodari
Hodari wa Mapenzi
Ohesmakan Hodari
Hodari wa Mapenzi
Elizabeth Micheal Hodari
Hodari wa Mapenz
- 0 Bản dịch
Hiện tại chưa có lời dịch cho bài hát này. Bạn hãy là người đầu tiên chia sẻ lời dịch cho bài hát này nhé !
Đăng lời dịch
Recent comments