LOADING ...

Daima Kenya

Song info

"Daima Kenya" (2013)

"Daima Kenya" Videos

Daima Mkenya
Daima Mkenya
Daima - Eric Wainaina
Daima - Eric Wainaina
Daima mimi mkenya Lyrics     Eric Wainaina
Daima mimi mkenya Lyrics Eric Wainaina
Daima Mkenya
Daima Mkenya
Eric Wainaina
Eric Wainaina
Daima
Daima
Nchi Ya Kitu Kidogo
Nchi Ya Kitu Kidogo
DAIMA - #ChanjoKwaWote
DAIMA - #ChanjoKwaWote
Ritwa Riaku
Ritwa Riaku
Twende Twende(Official Video)
Twende Twende(Official Video)
ERIC WAINAINA - Performing  DAIMA live..
ERIC WAINAINA - Performing DAIMA live..
DAIMA MKENYA: Erick Wainaina Steals the Show During Official Launch of PLP Party
DAIMA MKENYA: Erick Wainaina Steals the Show During Official Launch of PLP Party
Eric Wainaina - Daima (Live at the Alliance Française de Nairobi)
Eric Wainaina - Daima (Live at the Alliance Française de Nairobi)
Daima Mimi Mkenya - Eric Wainaina (Lyrics Video)
Daima Mimi Mkenya - Eric Wainaina (Lyrics Video)
Eric Wainaina performs his famous "Daima Mkenya" at Uhuru Gardens during Jamhuri 2023 celebrations.
Eric Wainaina performs his famous "Daima Mkenya" at Uhuru Gardens during Jamhuri 2023 celebrations.
Eric Wainaina - Daima (English)
Eric Wainaina - Daima (English)
Eric Wainaina talks about Daima Kenya - Kenya Ni Yetu Live
Eric Wainaina talks about Daima Kenya - Kenya Ni Yetu Live
Ritwa Riaku
Ritwa Riaku
Eric Wainaina performs his ‘Daima Mkenya’ song during memorial concert of police brutality victims
Eric Wainaina performs his ‘Daima Mkenya’ song during memorial concert of police brutality victims
Daima Kenya Erick Wainaina - Clara Mereso
Daima Kenya Erick Wainaina - Clara Mereso

Lyrics

Verse 1
Umoja ni fahari yetu
Undugu ndio nguvu
Chuki na ukabila
Hatutaki hata kamwe
Lazima tuungane, tuijenge nchi yetu
Pasiwe hata mmoja
Anaetenganisha

Chorus
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo

Verse 2
Kwa uchungu na mateso
Kwa vilio na uzuni
Tulinyakuliwa Uhuru
na mashujaa wa zamani
Hawakushtushwa na risasi
au kufungwa gerezani
Nia yao ukombozi kuvunja pingu za ukoloni

Chorus
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo

Verse 3
Wajibu wetu
Ni Kuishi kwa upendo
Kutoka ziwa Mpaka pwani
Kaskazini na kusini

Chorus
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo

Albums has song "Daima Kenya"

Singles

Singles

  1 songs
Singles

Singles

  1 songs