LOADING ...

Bidii

Song info

"Bidii" (2013)

"Bidii" Videos

Marlow - Bidii
Marlow - Bidii
Bidii
Bidii
Marlaw Bidii UK
Marlaw Bidii UK
Marlaw - Kirungu (Lyrics Video)
Marlaw - Kirungu (Lyrics Video)
Marlaw - Mbayuwayu
Marlaw - Mbayuwayu
Marlaw-Bembeleza
Marlaw-Bembeleza
Marlaw - Pii Pii
Marlaw - Pii Pii
MARLAW=SIKUACHI FT OB OFFICIAL LYRICS MP4 AUDIO 2022{LyricsByJizoCredible}
MARLAW=SIKUACHI FT OB OFFICIAL LYRICS MP4 AUDIO 2022{LyricsByJizoCredible}
DAYNA ft MARLAW - Mafungu
DAYNA ft MARLAW - Mafungu
Marlaw - Rita
Marlaw - Rita
Marlaw - Sorry sana
Marlaw - Sorry sana
Marlaw - Mbayuwayu
Marlaw - Mbayuwayu
Marlaw-Daima na milele lyrics
Marlaw-Daima na milele lyrics
MARLAW KUHUSU NDOA KUPOTEZA MUZIKI WAKE ''MASHABIKI WALINIFANYA MKUBWA''
MARLAW KUHUSU NDOA KUPOTEZA MUZIKI WAKE ''MASHABIKI WALINIFANYA MKUBWA''
Marlaw   Taa  DjMagutu_Officially
Marlaw Taa DjMagutu_Officially
Bidii
Bidii
Marlaw ft Fundi Samweli   Pamoja Official Video
Marlaw ft Fundi Samweli Pamoja Official Video
Marlaw ft Fundi Samwel new song
Marlaw ft Fundi Samwel new song
marlaw-busu la pinky (tanzania )
marlaw-busu la pinky (tanzania )
Bidii
Bidii

Lyrics

Hey Hey, Hey (X8)
Hook:
Hey Hey Ujue Baby Sivyo Unavyoniona Mi,
Naona Wasiwasi Mwingi Unapokuwa Na Mi,
Unawaza Mengi,
Labda Maishani Uwe Namimi,
Kuwa Maskini Na Tabu Nyingi, Napambana Kwa Bidii, Natafuta Kwa Bidii, Naenda Kazi Kwa Bidii,
Sibagui Kazi Najifunza Kwa Bidii, Najituma Kwa Bidii, Naomba Mungu Kwa Bidii, Sijejuta Kuwa Namii Yee
Verse 1:
Na Daima *Go Niliishi Kwa Taabu, Sababu Ya Uzembe Wangu, Nina-La-Lamika Mungu Na Uvivu Ni Wangu-U! Sikujua Kitu Budget (Budget),
Pesa Nitatumiaje (Aje),
Nilijua Iko Pale Tuu-Pale Tuu,
Nilipinda Mi Balaa, Hata Nguo Tuu Kuvaa,
Nilishinda Nina-Njaa,
Hata Shing-Kumi Sinaa
Hook
Ujue Baby Sivyo Unavyoniona Mi,
Naona Wasiwasi Mwingi Unapokuwa Na Mi,
Unawaza Mengi, Labda Maishani Uwe Namimi,
Kuwa Maskini Na Tabu Nyingi,
Napambana Kwa Bidii (Hey Hey, Hey),
Natafuta Kwa Bidii(Hey Hey, Hey),
Naenda Kazi Kwa Bidii(Hey Hey, Hey),
Sibagui Kazi(Hey Hey, Hey),
Najifunza Kwa Bidii(Hey Hey, Hey),
Najituma Kwa Bidii(Hey Hey, Hey),
Naomba Mungu Kwa Bidii(Hey Hey, Hey),
Sijejuta Kuwa Namii Yee(Hey Hey, Hey)
Verse 2
Nimejifunza Sasa, Naomba Ujipe-Maa,
Sitocheza Kwa Saan Ama Business Man,
Ma Baby Njoo Uelewe, Biashara Ndogo, Yes,
Ndio Inafanya Tuule Ujipe'ma, Kuwa Nami Enjoy,
Wala Hatu-Destroy Budget Tuje Iumba,
N'lisha-Pinda Mi Balaa Me-Jifunza Mi Mama,
Labda Mola Tu Apange, Sio Kwa Uvivuu Tena
Repeat Hook
Bridge
Nambieee-Eeey-Aaai, Uuuuh-
Hata Kama Mungu Hakunipa Vyote,
Chochote Alichonipa Lazma'n'tumieee,
Akili Ntumiee, Miguu, Mikono, Nguvu,
Kipaji Nionyeshe Baby
Repeat Hook
Laiti Ungejua Najituma Sana, Baby Laiti Ungejua Napambana Sana, Eeeeh! Wewe My Baby, Bidii,
Bidii Yangu-Kwako, Maisha Yetuu, Maisha,
Mimi Na Wewe Hey Hey, Hey (X4)
Laiti Ungejua Najituma Sana (Hey Hey, Hey),
Baby Laiti Ungejua Napambana Sana (Hey Hey, Hey),
Baby Laiti Ungejua, Baby Laiti, Baby Laiti, Baby Laiti Ungejua Napambana Sana Baby Laiti Ungejua Nakupenda


Albums has song "Bidii"