LOADING ...

Abneli

Song info

"Abneli" (2018)

"Abneli" Videos

Abneli | Bahati Bukuku | Official Video
Abneli | Bahati Bukuku | Official Video
Ahabu | Bahati Bukuku | Official Video
Ahabu | Bahati Bukuku | Official Video
Abneli | Bahati Bukuku | Official Audio
Abneli | Bahati Bukuku | Official Audio
Mbeba Maono | Bahati Bukuku | Official Video
Mbeba Maono | Bahati Bukuku | Official Video
Bahati Bukuku | Atakushangaza | Hit Gospel Video Song
Bahati Bukuku | Atakushangaza | Hit Gospel Video Song
Top Tracks - Bahati Bukuku
Top Tracks - Bahati Bukuku
WARAKA WA AMANI (ESTER)
WARAKA WA AMANI (ESTER)
Top Gospel Songs by Bahati Bukuku : African Gospel Songs Swahili
Top Gospel Songs by Bahati Bukuku : African Gospel Songs Swahili
Bahati Bukuku Gospel Song   Nakutegemea Official Video
Bahati Bukuku Gospel Song Nakutegemea Official Video
Kampeni | Bahati Bukuku | Official Video
Kampeni | Bahati Bukuku | Official Video
Kesho Ni Fumbo | Bahati Bukuku | Official Video
Kesho Ni Fumbo | Bahati Bukuku | Official Video
Boni Mwaitege   Safari bado
Boni Mwaitege Safari bado
Maamuzi | Bahati Bukuku | Official Video
Maamuzi | Bahati Bukuku | Official Video
BAHATI BUKUKU - Heshima Ya Dhahabu
BAHATI BUKUKU - Heshima Ya Dhahabu
UMEWAZIDI WOTE  |  BAHATI BUKUKU  |   OLD VERSION
UMEWAZIDI WOTE | BAHATI BUKUKU | OLD VERSION
Nyota Yako  | Bahati Bukuku | Official Video
Nyota Yako | Bahati Bukuku | Official Video
BAHATI BUKUKU MAAMUZI
BAHATI BUKUKU MAAMUZI
Bahati Bukuku Songa Mbele Song
Bahati Bukuku Songa Mbele Song
MAJARIBU bahati bukuku
MAJARIBU bahati bukuku
Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song
Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song

Lyrics

Mbona huyu amefia hapa? Kwanini?
Mbona huyu amenyongwa? Nashangaa
Vyuma vya wageni vimejaa wizi. Kwanini?
Taarifa za habari hakuna mapya. Nashangaa
Huruma, huruma, iko wapi dunia?
Huruma huruma, haipo tena
Huruma, huruma, iko wapi dunia?
Huruma huruma, haipo tena

Usijaribu kumwua nzi aliyekichwani kwa mtu ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia
Usijaribu kumwua nzi aliyekichwani kwa mtu ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia
Jeraha utaloliacha ni kubwa, ni bora uwaache wenye busara-
Watumie akili wamsaidie
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamwua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamwinua
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamwua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamwinua

Abneli! Abneli!
Umekufa je Abneli?
Abneli! Abneli!
Daudi alilia
Abneli! Abneli!
Umekufa je Abneli?
Abneli! Abneli!
Daudi alilia

Tumepoteza ndugu zetu, bila sababu
Tumepoteza marafiki, bila sababu
Tumepoteza ndugu zetu, bila sababu
Tumepoteza marafiki, wasio na hatia
Kwa sababu ya kufurahisha, wanadamu
Kwa sababu ya kufurahisha, wanaotuzunguka
Huruma, huruma, iko wapi huruma?
Huruma huruma, haipo tena
Huruma, huruma, iko wapi huruma?
Huruma huruma, haipo tena
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamwua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamwinua
Maana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumi
Roho ya huruma haipo tena
Roho ya kisasi inatenda kazi
Roho ya huruma haipo tena
Roho ya kisasi inatenda kazi
Huruma, huruma, iko wapi dunia?
Huruma huruma, haipo tena
Huruma, huruma, iko wapi dunia?
Huruma huruma, haipo tena

Abneli! Abneli!
Umekufa je Abneli?
Abneli! Abneli!
Daudi alilia
Abneli! Abneli!
Umekufa je Abneli?
Abneli! Abneli!
Daudi alilia

Baada ya Sauli kufa, Abneli alirudi kwa Daudi
Alipotengeneza na Daudi, akasahau Yoabu anakumbuka
Kifo alichomwua nduguye, Asaheli wakati wa vita
Yoabu akamwua Abneli, Abneli hakutambua hilo
Yeye alipotengeneza na Daudi, akajua maadui wamekwisha
Msamaha, msamaha, ukowapi dunia
Msamaha, msamaha, Mungu atusaidie
Msamaha, msamaha, ukowapi dunia
Msamaha, msamaha, Mungu atuhurumie
Nyakati hizi tulizonazo
Alama za nyakati zinaonyesha
Wanadamu wamechoka suru
Wanaona maamuzi kuwa ni kifo
Wajue adui ulio nao
Jihadhari na hao marafiki
Sio kila kicheko kinamaanisha furaha, wengine wakichukia hucheka sana
Sio kila kicheko knaamaanisha upendo, wangene wanataka wakusongeze tu
Wengine wanataka wakuweke karibu, ili iwe sababu ya kutoa roho yako

Abneli! Abneli!
Umekufa je Abneli?
Abneli! Abneli!
Daudi alilia
Abneli! Abneli!
Umekufa je Abneli?
Abneli! Abneli!
Daudi alilia

Albums has song "Abneli"